Msaada: Nauli na taratibu za kwenda Kenya kutoka Tanzania

Mtu mmoja kuchoma YF inachukua dakika 2 hata mkiwa 20 sawa na dakika 40 tu.

kushusu passport ngoja waje
 
Money Exchange
ukiwa unatoka uhamiaji mwishoni kuna mlango wana Exchange Tzs to Ksh ya Kenya nzuri zaidi kuliko Dollar.
 
Asante mkuuu, na kama natumia bus na sina yellow fever card nitaweza kupita pale mpakani au wakati naenda huwa hamna ukaguzi? Na ni wapi inahitajika hiyo?

Na hii passport ya muda mfupi huwa gharama yake ni kiasi gani mkuu.?
Miaka 5 nyuma it was elfu 10 sijui sasa hivi....
 
Yellow Book yanini tena situlikubaliana Yellow Fever.
Ndiyo hiyo hiyo mkuu ya yellow fever, kale kakitabu ni ka rangi ya njano so ndo maana wanaita yellow book...
 
Mtu mmoja kuchoma YF inachukua dakika 2 hata mkiwa 20 sawa na dakika 40 tu.

kushusu passport ngoja waje
Passport ni mlolongo mrefu kidogo ingawa kuna madirisha matatu but hapo inatake time kidogo kutokana na kuhojiwa unaenda kufanya nn kenya, fingerprint scanning na kupigwa picha
 
Kumbe Yellow Fever ni chanjo kwahiyo wanaingia kwenye gari wanachanja mutuvumilie sie mishamba.
Sidhani kama hili linawezekana, nenda mnazi mmoja pale nusu saa tuu tayari...
 
Pia muwe na USD 100 kwa Kila mtu kwa ajili ya kujipima korona

Yaani hapa wizara yetu ilikomoa jmn mtu ulipie laki 2 na ushee zaidi ya nauli ya nauli ya kwenda Nairobi, zaidi hata ya passport
 
Pita Kwa border ya Namanga ndiyo hakuna usumbufu,hata kama huna pass utapenya/money is talk
kuhusu exchange ya money vizuri zaidi kuexchange hapohapo border but make sure unaangalia exchange rate kwakugoogle before you exchange money siunajua tena wapigaji wapo kila sehemu
 
Usijali mkuu me ni mwaminifu mno

Fanya tu nipate namba yake inbox tafadhari
Sawa nitakutumia nimehifadhi ID yako naimani atapata good company na experience nzuri sana.
 
Kwa sasa siwezi kuwa wa msaada sana maana ni kitambo tangu nisafiri baina ya hizi nchi mbili, duh halafu nakubali mnavyojiamini, yaani unang'ang'ania kusafiri na watoto ilhali mdudu kolonya amezagaa kote kote.
Wewe ni mzoefu wa pande zote mbili mwaga data

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…