King Kong III
Platinum Member
- Oct 15, 2010
- 64,227
- 98,761
Kwa sasa siwezi kuwa wa msaada sana maana ni kitambo tangu nisafiri baina ya hizi nchi mbili, duh halafu nakubali mnavyojiamini, yaani unang'ang'ania kusafiri na watoto ilhali mdudu kolonya amezagaa kote kote.
Seconded. 'Nyumonia' imetutia adabu. Sjui Tutaambia nini mabeberu sasaKiukweli Kolonya safari hii kuanzia Mwanzoni mwa December mpaka sasa anatunyoosha kwa kweli.
Akifika border anashuka kwenye bus anagonga mihuri,immigration zipo karibukaribu akigonga Namanga Tanzania anatenbea hatua chache sana anagonga Kenya,hapo ndipo ataulizwa chanjo ya yellow fever kama hana watamlazimisha alipe na kuchoma au arudi kwao TanzaniaAnachomea vipi hapo mpakani hiyo fever na wakati atakuwa kwenye Public Transport.
Mkuu alisema Kenya nikajua Mombasa kama ni Nairobi its 60000/Dar to Arusha tu ni 33k op
Nairobi inawezekana ikawa Kati ya 40k to 50k pp
Ziko karibu karibu na za Tanzania kila mpaka ni hatua chache sana za kutembea kwa mguuMigration ya Kenya ipo wapi.
Kachome mpakani mkuu acha uogaambapo na malipo yake yanakua kwa dollar au Tsh mkuu? na unashauri mtu akachome yellow fever pale mpakani au ni vizuri akianza safari akiwa nayo tyr?
Siku hizi kupenya sio rahisi kwa sababu ya CORONA LEMA alikamatwa.Alafu aba watoto wadogo asiwahangaishe na,njia za panyaPita Kwa border ya Namanga ndiyo hakuna usumbufu,hata kama huna pass utapenya/money is talk
kuhusu exchange ya money vizuri zaidi kuexchange hapohapo border but make sure unaangalia exchange rate kwakugoogle before you exchange money siunajua tena wapigaji wapo kila sehemu
Wanataka covid certificate ,means uwe umepima kuchanja si lazima.Wakuu kwenda Kenya lazima uwe umechanja au kipimo cha covid kinatosha?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa mkuuWanataka covid certificate ,means uwe umepima kuchanja si lazima.
Inatakiwa kupima muda gan kabla ya safari?Wanataka covid certificate ,means uwe umepima kuchanja si lazima.
Nadhani ndani ya masaa 72
Kupima bei gani?Wanataka covid certificate ,means uwe umepima kuchanja si lazima.