Vitalis Msungwite
JF-Expert Member
- May 11, 2014
- 3,292
- 7,867
Kuna jamaa wanadai wanazo ila bei ni 7 million. Kwa upande wa Kishen wanamatawi mikoa mingi tu. Toyo usichukue. Mpigie 0676176742 nae ni wakala. Hakikisha ni amec mikono mirefu. Kama upo njombe wapo SUNDY merchant 0742598909Vitalis Msungwite mkuu nimefika Kisheni ila amec zimeisha zipo Toyo tiller, sehemu nyingine km unazijua naomba msaada wako kulajua. Nipate ya milioni 4 au 5 zile km unapajua msaada tutani.