Vitalis Msungwite
JF-Expert Member
- May 11, 2014
- 3,292
- 7,867
Kuna jamaa wanadai wanazo ila bei ni 7 million. Kwa upande wa Kishen wanamatawi mikoa mingi tu. Toyo usichukue. Mpigie 0676176742 nae ni wakala. Hakikisha ni amec mikono mirefu. Kama upo njombe wapo SUNDY merchant 0742598909Vitalis Msungwite mkuu nimefika Kisheni ila amec zimeisha zipo Toyo tiller, sehemu nyingine km unazijua naomba msaada wako kulajua. Nipate ya milioni 4 au 5 zile km unapajua msaada tutani.
Nipo Dar ila hii itaenda Morogoro ifakaraKuna jamaa wanadai wanazo ila bei ni 7 million. Kwa upande wa Kishen wanamatawi mikoa mingi tu. Toyo usichukue. Mpigie 0676176742 nae ni wakala. Hakikisha ni amec mikono mirefu. Kama upo njombe wapo SUNDY merchant 0742598909
Nitumie nizione hizo maana ndo nazisikia kwako. Kwa bei ni sahihi saizi zinacheza humo humo na maximum ni 7.milion wakati za kijapan na Thailand (Kubota) 10 million bila telaNimeenda Homebase wanazo Alfa bei 6.5m vipi hizi zinafaa Vitalis Msungwite
Huyu yupo Goba, ila zimeisha kasema wiki ijayo zinaweza wasili, nimekuuliza ALFA pia.Kuna jamaa wanadai wanazo ila bei ni 7 million. Kwa upande wa Kishen wanamatawi mikoa mingi tu. Toyo usichukue. Mpigie 0676176742 nae ni wakala. Hakikisha ni amec mikono mirefu. Kama upo njombe wapo SUNDY merchant 0742598909