Msaada: Nawashwa uume nikishiriki mapenzi

Msaada: Nawashwa uume nikishiriki mapenzi

Jackson H

Member
Joined
Jul 14, 2022
Posts
5
Reaction score
0
Naomba msaada wa mawazo au hata tiba. Inakuwaje pale ninapoingiza uume kwenye uke naanza kuwashwa mpaka naahirisha tendo la ndoa? Maana hali ni mbaya.
 
duh pole kaka ni kwa kila mwanamke au mmoja tu...? na je ukivaa kondom mamb n yale yale au
 
Naomba msaada wa mawazo au hata tiba. Inakuwaje pale ninapoingiza uume kwenye uke naanza kuwashwa mpaka naahirisha tendo la ndoa? Maana hali ni mbaya.
Kuna jamaa humu alisema amefikisha wanawake 200+ huyu atakuwa na PhD kwenye hilo eneo anaweza kuwa na majibu
 
Back
Top Bottom