Hakuna kitu kigumu. Kama Ikulu ilijengwa na Wajerumani basi Ramani ipo kwa Wajerumani hao.Habarini wanajamvi,
Katika hatua za ukuaji wangu, niliwahi kuwa na ndoto za kuja kuishi Ikulu, but as the days go naona hiyo ndoto imepotea kabisa.
So, i want to build my own buildings that will resemble with state house, but my problem is how and where may I get a map of state house so as i can start construction.
Note: Dont confuse about cost, kwa maana naweza jenga hata kwa kutumia miti na majani(ni suala la ubunifu) tu.
Kipi Kikusikitishachoo....???Habarini wanajamvi,
Katika hatua za ukuaji wangu, niliwahi kuwa na ndoto za kuja kuishi Ikulu, but as the days go naona hiyo ndoto imepotea kabisa.
So, i want to build my own buildings that will resemble with state house, but my problem is how and where may I get a map of state house so as i can start construction.
Note: Dont confuse about cost, kwa maana naweza jenga hata kwa kutumia miti na majani(ni suala la ubunifu) tu.
Itakuwa vizuri sanaHii post ukijumlisha na zile kauli za ''Nyepesi'' eti watu walimjaribu ''Ticha'' mara 8,
Halafu ukaweka na ya yule wa Chuga eti 'Mungu ataichukua Roho ya mshkaji' kabla ya 2020,
Ukichanganya na maisha yasiyo na grisi basi kuna kitu chini ya kapeti.....Pengine ni muda wa watanzania kuandika historia kama za USA na ama za Bukinafaso.
Toba!
Naona una watafuta wale jamaa..
uwiiiiiiiiii, napita tu hapa sina cha kuchangia
Wewe sio mzima kabisa we endelea utatoweka muda sio mrefu usije ukawapa shida familia yako mie simo.
Sijacomment kitu hapa.
aseee 😀😀😀my ribs jamani...mkuu kila kheri...
Pasi tulia tuli na ukipenda mwao wa kwanza na mwisho, ni heli hiyo simi u
Naomba nifahamu uraia wako wa kuzaliwa, mawasiliano yako na marafiki zako. Isijekuwa umepewa donge nono na Al Qaeda uwapelekee ili wadungue "mahali Patakatifu" kama walivyofanya WTC.
TISS now start follow you!
-Accept
-Ignore
Now you are friend with TISS.
Wananiletea hiyo map? Nitashukuru sana, naona ndoto zangu zinaenda kutimia
Acheni Uwoga, mtu kuulizia ramani ili akajenge mjengo kama wa Ikulu si kosa.Mwenyewe kasafiri tu mmeanza kuulizia ramani
Habarini wanajamvi,
Katika hatua za ukuaji wangu, niliwahi kuwa na ndoto za kuja kuishi Ikulu, but as the days go naona hiyo ndoto imepotea kabisa.
So, i want to build my own buildings that will resemble with state house, but my problem is how and where may I get a map of state house so as i can start construction.
Note: Dont confuse about cost, kwa maana naweza jenga hata kwa kutumia miti na majani(ni suala la ubunifu) tu.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Habarini wanajamvi,
Katika hatua za ukuaji wangu, niliwahi kuwa na ndoto za kuja kuishi Ikulu, but as the days go naona hiyo ndoto imepotea kabisa.
So, i want to build my own buildings that will resemble with state house, but my problem is how and where may I get a map of state house so as i can start construction.
Note: Dont confuse about cost, kwa maana naweza jenga hata kwa kutumia miti na majani(ni suala la ubunifu) tu.
Jamaa gani mkuu?
Mkuu, hujui kwamba Siku hizi hats nyasi na miti ni ghari. Any way subiri kutafutwa na wale wakuda wa miwaniHabarini wanajamvi,
Katika hatua za ukuaji wangu, niliwahi kuwa na ndoto za kuja kuishi Ikulu, but as the days go naona hiyo ndoto imepotea kabisa.
So, i want to build my own buildings that will resemble with state house, but my problem is how and where may I get a map of state house so as i can start construction.
Note: Dont confuse about cost, kwa maana naweza jenga hata kwa kutumia miti na majani(ni suala la ubunifu) tu.
Mkuu huku niliko hakuna hata jani la mkorosho, na raia hawajui tuWakati mwingine mtu unaweza ukajitafutia pumzio la milele mwenyewe hivi hivi. Sasa kama hata kupita karibu wamepanga masaa ya kupita pale sembuse ramani ya kuonyesha na Master Bedrooms zao.
Msimu wa korosho tayari au bado??????