Msaada, naweza kupata ramani ya Ikulu?

Msaada, naweza kupata ramani ya Ikulu?

Habarini wanajamvi,

Katika hatua za ukuaji wangu, niliwahi kuwa na ndoto za kuja kuishi Ikulu, but as the days go naona hiyo ndoto imepotea kabisa.

So, i want to build my own buildings that will resemble with state house, but my problem is how and where may I get a map of state house so as i can start construction.

Note: Dont confuse about cost, kwa maana naweza jenga hata kwa kutumia miti na majani(ni suala la ubunifu) tu.
Hakuna kitu kigumu. Kama Ikulu ilijengwa na Wajerumani basi Ramani ipo kwa Wajerumani hao.

If your interested please contact me, 0655308308
 
Kipi Kikusikitishachoo....???
 
75% ni vichaa twaweza,ni heli angeuliza kiwanja cha kununua maeneo ya magogoni, lkn sio karatasi ya Mcholo,
 
Hii post ukijumlisha na zile kauli za ''Nyepesi'' eti watu walimjaribu ''Ticha'' mara 8,

Halafu ukaweka na ya yule wa Chuga eti 'Mungu ataichukua Roho ya mshkaji' kabla ya 2020,

Ukichanganya na maisha yasiyo na grisi basi kuna kitu chini ya kapeti.....Pengine ni muda wa watanzania kuandika historia kama za USA na ama za Bukinafaso.
Itakuwa vizuri sana
 
Hakuna kitu kigumu. Kama Ikulu ilijengwa na Wajerumani basi Ramani ipo kwa Wajerumani hao.

If your interested please contact me, 0655308308
Nimekucheki hupatikani mkuu
 
Naona una watafuta wale jamaa..

uwiiiiiiiiii, napita tu hapa sina cha kuchangia

Wewe sio mzima kabisa we endelea utatoweka muda sio mrefu usije ukawapa shida familia yako mie simo.

Sijacomment kitu hapa.

aseee 😀😀😀my ribs jamani...mkuu kila kheri...

Pasi tulia tuli na ukipenda mwao wa kwanza na mwisho, ni heli hiyo simi u

Naomba nifahamu uraia wako wa kuzaliwa, mawasiliano yako na marafiki zako. Isijekuwa umepewa donge nono na Al Qaeda uwapelekee ili wadungue "mahali Patakatifu" kama walivyofanya WTC.

TISS now start follow you!

-Accept
-Ignore

Now you are friend with TISS.

Wananiletea hiyo map? Nitashukuru sana, naona ndoto zangu zinaenda kutimia

Mwenyewe kasafiri tu mmeanza kuulizia ramani
Acheni Uwoga, mtu kuulizia ramani ili akajenge mjengo kama wa Ikulu si kosa.

This country is full of cowards.
 
Mbona inapatikana kirahisi.....1 pale kwenye mchicha barabara ya Ali hassan mwinyi 2 pale njia ya st peters au 3 pale getini ikulu waulize wahudumu oale watakuonesha.
 
Wakati mwingine mtu unaweza ukajitafutia pumzio la milele mwenyewe hivi hivi. Sasa kama hata kupita karibu wamepanga masaa ya kupita pale sembuse ramani ya kuonyesha na Master Bedrooms zao.
Msimu wa korosho tayari au bado??????
 
Habarini wanajamvi,

Katika hatua za ukuaji wangu, niliwahi kuwa na ndoto za kuja kuishi Ikulu, but as the days go naona hiyo ndoto imepotea kabisa.

So, i want to build my own buildings that will resemble with state house, but my problem is how and where may I get a map of state house so as i can start construction.

Note: Dont confuse about cost, kwa maana naweza jenga hata kwa kutumia miti na majani(ni suala la ubunifu) tu.

Tuma hilo ombi mitaa ya Magogoni na Lithuli ukionyesha mahali ulipo na address yako kamili. Ndani ya masaa kidogo watakutumia au kukuletea tena bure kabisa yaani hakuna malipo yoyote!!!!!!!
 
Habarini wanajamvi,

Katika hatua za ukuaji wangu, niliwahi kuwa na ndoto za kuja kuishi Ikulu, but as the days go naona hiyo ndoto imepotea kabisa.

So, i want to build my own buildings that will resemble with state house, but my problem is how and where may I get a map of state house so as i can start construction.

Note: Dont confuse about cost, kwa maana naweza jenga hata kwa kutumia miti na majani(ni suala la ubunifu) tu.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Mimi ninayo raman ya ikulu ya chifu wa kijiji chetu
 
Habarini wanajamvi,

Katika hatua za ukuaji wangu, niliwahi kuwa na ndoto za kuja kuishi Ikulu, but as the days go naona hiyo ndoto imepotea kabisa.

So, i want to build my own buildings that will resemble with state house, but my problem is how and where may I get a map of state house so as i can start construction.

Note: Dont confuse about cost, kwa maana naweza jenga hata kwa kutumia miti na majani(ni suala la ubunifu) tu.
Mkuu, hujui kwamba Siku hizi hats nyasi na miti ni ghari. Any way subiri kutafutwa na wale wakuda wa miwani
 
Wakati mwingine mtu unaweza ukajitafutia pumzio la milele mwenyewe hivi hivi. Sasa kama hata kupita karibu wamepanga masaa ya kupita pale sembuse ramani ya kuonyesha na Master Bedrooms zao.
Msimu wa korosho tayari au bado??????
Mkuu huku niliko hakuna hata jani la mkorosho, na raia hawajui tu
 
Habarini wanajamvi,

Katika hatua za ukuaji wangu, niliwahi kuwa na ndoto za kuja kuishi Ikulu, but as the days go naona hiyo ndoto imepotea kabisa.

So, i want to build my own buildings that will resemble with state house, but my problem is how and where may I get a map of state house so as i can start construction.

Note: Dont confuse about cost, kwa maana naweza jenga hata kwa kutumia miti na majani(ni suala la ubunifu) tu.

tumblr_njoi99DxWU1t0c802o1_500.jpg
 
Back
Top Bottom