Binafsi ni mtu wa kujitenga sana, sio mtu wa kujichanganya kabisa na sijawahi kuwa bored .. ni simply because I have a tendency of talking alone, ninaweza kukaa peke yangu na kuanza kuongea kwa muda mrefu hata masaa mawili .. mtu akiniona huwa nashtuka sana na kuanza ku pretend kama naimba [emoji23][emoji23] .. nimejitahidi sana kuacha hii tabia lakini nashindwa .. kila nikifumwa huwa najiapia kwamba sirudii tena, lakini naishia kurudia kama awali .. je hii ni kawaida ? .. nawezaje kuacha hii tabia ?? ..