Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣 Poa mkuu ulifanya maamuzi sahihimkuu nili put into consideration tabia ya kuzungumza peke yangu plus mjani nikaona nuakushe tu ..
Shukrani Sana mkuu ..Niliwahi kusikia watu wanaoongea wenyewe ubongo wao unafanya kazi kuzidi normal, mara nyingi watu wa aina hii huwa wanatakiwa kutumika kwenye taaluma km za utafiti/ugunduzi maabara n.k ila kwa kuwa wabongo hatujawahi kuwa serious huu uzi utajaa replies za utani tu.
Mkuu sijajua unadili na mishe gani ila kwa ushauri ili kuupooza ubongo wako jaribu kuwa na watu ila pia siku hizi kuna mitandao km hivi so waweza kuitumia pia. Kumbuka kila ufanyalo linaratibiwa na ubongo.
Wewe ni introvertBinafsi ni mtu wa kujitenga sana, sio mtu wa kujichanganya kabisa na sijawahi kuwa bored .. ni simply because I have a tendency of talking alone, ninaweza kukaa peke yangu na kuanza kuongea kwa muda mrefu hata masaa mawili .. mtu akiniona huwa nashtuka sana na kuanza ku pretend kama naimba [emoji23][emoji23] .. nimejitahidi sana kuacha hii tabia lakini nashindwa .. kila nikifumwa huwa najiapia kwamba sirudii tena, lakini naishia kurudia kama awali .. je hii ni kawaida ? .. nawezaje kuacha hii tabia ?? ..
Nenda muhimbili au tumbi kibaha wapo watalaam watakusaidiaShukrani kwa mchango wako mkuu ..
Nipo hivyo mkuu, naweza kukaa na kuanza kuchanganua jambo kwa kina mno na pia naweza kuwa labda nipo na watu naangalia Tv ikatokea nimeona kitu cha kufikirisha nitajikuta tu nimeinuka natoka nje na kuanza kuzunguka nje huku nikiwa najadili like jambo .. hapo naweza chukua hata saa nzima mpaka kuja kushtuka tena ..Endelea mkuu, unapunguza stress, unacontrol emotion. Lakini pia ni dalili ya kuwa wewe unaouwezo mkubwa mno wa akili.
Sio kila mtu anao uwezo wa kuongea mwenyewe kwa mpangilio maalum wa kueleweka ni watu wachache mno wenye uwezo huo ila sijamaanisha ila kuongea hovyohovyo ya watu wenye matatizo ya akili. Naamanisha ile hali ya kuweza kutengeneza kikao au kijiwe wewe mwenyewe na story zikanoga hiyo ni dalili ya uwezo mkubwa wa akili.
![]()
You're not crazy - science proves talking to yourself is great for stress relief
Do you talk to yourself? If you don’t, and you’re stressed out, it might be something to consider. New research shows that, despite the stigma …bgr.com
![]()
Why Do People Talk to Themselves?
What causes people to talk to themselves? There may not be one specific reason people talk to themselves, but there are benefits to it.www.webmd.com
![]()
Science Says People Who Talk To Themselves Are Geniuses - LifeHack
I talk a lot to myself. It helps me to keep my concentration on the activity on hand, makes me focus more on my studies, and gives me some prettywww.lifehack.org
Kama unaouwezo wa kutengeneza kikao kwenye akili yako. Na kichwani mwako hicho kikao kikawa kama kikao kwelikweli mpaka mnabishana na kukubaliana kwa hoja kiufupi Mungu amekupa akili nyingi sana (sijamaanisha za darasani). Wazungu wameshafanya utafiti wanasema watu wenye akili za aina hiyo wana ubunifu wa hali ya juu mno na wengine ni majiniasi kabisa.Nipo hivyo mkuu, naweza kukaa na kuanza kuchanganua jambo kwa kina mno na pia naweza kuwa labda nipo na watu naangalia Tv ikatokea nimeona kitu cha kufikirisha nitajikuta tu nimeinuka natoka nje na kuanza kuzunguka nje huku nikiwa najadili like jambo .. hapo naweza chukua hata saa nzima mpaka kuja kushtuka tena ..