Inside10
JF-Expert Member
- May 20, 2011
- 29,909
- 32,414
Hii shida kabisa nami. Akilindogosana ahsante mkuu kwa nondo za hapo juu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani wewe upo kama mimi na kwangu mimi taaluma yangu ni sheria so kila nikiwa peke yangu ikitokea issue yoyote iwe nimesoma au kusikia sehemu naanza kuongea kwa kujenga hoja za pande zote mbili!Binafsi ni mtu wa kujitenga sana, sio mtu wa kujichanganya kabisa na sijawahi kuwa bored .. ni simply because I have a tendency of talking alone, ninaweza kukaa peke yangu na kuanza kuongea kwa muda mrefu hata masaa mawili .. mtu akiniona huwa nashtuka sana na kuanza ku pretend kama naimba [emoji23][emoji23] .. nimejitahidi sana kuacha hii tabia lakini nashindwa .. kila nikifumwa huwa najiapia kwamba sirudii tena, lakini naishia kurudia kama awali .. je hii ni kawaida ? .. nawezaje kuacha hii tabia ?? ..
Da sasa inakuwaje unajijibu pia?Me mkuu
HahahahaWenzako wamefungiwa ndan hosptal kule dodoma ila we unajitahid kujificha ficha usigundulike ndo maana bado upo nje
Lipa madeni yako!Binafsi ni mtu wa kujitenga sana, sio mtu wa kujichanganya kabisa na sijawahi kuwa bored .. ni simply because I have a tendency of talking alone, ninaweza kukaa peke yangu na kuanza kuongea kwa muda mrefu hata masaa mawili .. mtu akiniona huwa nashtuka sana na kuanza ku pretend kama naimba [emoji23][emoji23] .. nimejitahidi sana kuacha hii tabia lakini nashindwa .. kila nikifumwa huwa najiapia kwamba sirudii tena, lakini naishia kurudia kama awali .. je hii ni kawaida ? .. nawezaje kuacha hii tabia ?? ..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kawaida tu kwa tozo hizi
Nami ngoja niendelee kuongea peke yangu.Kuongea peke yako ni tiba ya magonjwa ya akili.Siku ukiacha kuongea peke yako unakuwa kichaa.Kwa kukusaidia ni kwamba usijaribu kuacha kuongea peke yako.
Wewe ni geniusNipo hivyo mkuu, naweza kukaa na kuanza kuchanganua jambo kwa kina mno na pia naweza kuwa labda nipo na watu naangalia Tv ikatokea nimeona kitu cha kufikirisha nitajikuta tu nimeinuka natoka nje na kuanza kuzunguka nje huku nikiwa najadili like jambo .. hapo naweza chukua hata saa nzima mpaka kuja kushtuka tena ..
Sijawahi kubeti kabisa mkuu ..
Inategemea unaongea nini?ila unaweza kuacha taratibu kama unataka kuachaBinafsi ni mtu wa kujitenga sana, sio mtu wa kujichanganya kabisa na sijawahi kuwa bored .. ni simply because I have a tendency of talking alone, ninaweza kukaa peke yangu na kuanza kuongea kwa muda mrefu hata masaa mawili .. mtu akiniona huwa nashtuka sana na kuanza ku pretend kama naimba [emoji23][emoji23] .. nimejitahidi sana kuacha hii tabia lakini nashindwa .. kila nikifumwa huwa najiapia kwamba sirudii tena, lakini naishia kurudia kama awali .. je hii ni kawaida ? .. nawezaje kuacha hii tabia ?? ..
Shukrani sana mkuu ..Kama unaouwezo wa kutengeneza kikao kwenye akili yako. Na kichwani mwako hicho kikao kikawa kama kikao kwelikweli mpaka mnabishana na kukubaliana kwa hoja kiufupi Mungu amekupa akili nyingi sana (sijamaanisha za darasani). Wazungu wameshafanya utafiti wanasema watu wenye akili za aina hiyo wana ubunifu wa hali ya juu mno na wengine ni majiniasi kabisa.
Nashukuru kuona tupo wengi, mwanzoni niliona kama tatizo ..Yaani wewe upo kama mimi na kwangu mimi taaluma yangu ni sheria so kila nikiwa peke yangu ikitokea issue yoyote iwe nimesoma au kusikia sehemu naanza kuongea kwa kujenga hoja za pande zote mbili!