Msaada: Nawezaje kuacha tabia ya kuongea peke yangu?

Msaada: Nawezaje kuacha tabia ya kuongea peke yangu?

Pole man. Haina side effects sana zaidi ya kupoteza muda na kuchoka kutokua productive.

Ila inasaidia kutoa hasira, mawazo, stress na kupass time.

Soma soma kuhusu Maladaptive Day Dreaming.
Shukrani sana mkuu [emoji1545][emoji1545] ..
 
Hakuna mtu ambae haongei peke yake inategemea unaongea vp kimya kmya (kwenye nafsi yako) au kwa sauti kabisa!! Kama unaongea kwa sauti kapima shida ya akili
 
Binafsi ni mtu wa kujitenga sana, sio mtu wa kujichanganya kabisa na sijawahi kuwa bored .. ni simply because I have a tendency of talking alone, ninaweza kukaa peke yangu na kuanza kuongea kwa muda mrefu hata masaa mawili .. mtu akiniona huwa nashtuka sana na kuanza ku pretend kama naimba [emoji23][emoji23] .. nimejitahidi sana kuacha hii tabia lakini nashindwa .. kila nikifumwa huwa najiapia kwamba sirudii tena, lakini naishia kurudia kama awali .. je hii ni kawaida ? .. nawezaje kuacha hii tabia ?? ..
Hiyo ni dalili ya IQ kubwa,nilisoma mahali kuwa kuongea peke yako ni sifa kubwa ya watu wenye uwezo wa hali ya juu kiakili
 
Watu wanaweza wasikuelewe. Ila Mi naelewa.

Yaani mimi naweza jipa safari ya kutembea ili nifanye hiyo kitu, especially nikivaa earphones.

Yangu inaitwa Maladaptive Day Dreaming. Sema haina madhara so naitumia ku-cope na maisha.
Chizi kwenye ubora wake
 
Binafsi ni mtu wa kujitenga sana, sio mtu wa kujichanganya kabisa na sijawahi kuwa bored ni simply because I have a tendency of talking alone, ninaweza kukaa peke yangu na kuanza kuongea kwa muda mrefu hata masaa mawili.

Mtu akiniona huwa nashtuka sana na kuanza ku-pretend kama naimba [emoji23][emoji23]

Nimejitahidi sana kuacha hii tabia lakini nashindwa kila nikifumwa huwa najiapia kwamba sirudii tena, lakini naishia kurudia kama awali.

Je, hii ni kawaida? Nawezaje kuacha hii tabia?
Unakuwa upo kwenye personal meeting, endelea tu mkuu
 
Nashukuru kuona tupo wengi, mwanzoni niliona kama tatizo ..
Hapa duniani hakuna cha peke yako ukiexperience jambo jua kuna watu wengine pia wenye jambo kama hilo.

Mimi mazungumzo yangu huwa ni ya ndani kwa ndani sitoi sauti ila huwa nina vikao vingi mno ndani ya halmashauri ya kichwa changu.
Huwa siboreki kukaa peke yangu maana vikao ni vingi mno😀.
 
Niliwahi kusikia watu wanaoongea wenyewe ubongo wao unafanya kazi kuzidi normal, mara nyingi watu wa aina hii huwa wanatakiwa kutumika kwenye taaluma km za utafiti/ugunduzi maabara n.k ila kwa kuwa wabongo hatujawahi kuwa serious huu uzi utajaa replies za utani tu.
Mkuu sijajua unadili na mishe gani ila kwa ushauri ili kuupooza ubongo wako jaribu kuwa na watu ila pia siku hizi kuna mitandao km hivi so waweza kuitumia pia. Kumbuka kila ufanyalo linaratibiwa na ubongo.
First born wangu yupo hivyo ila ni kichwa hatari...walimu wake wanasema mtihani hata uwe ngumu vipi huwa hazidi saa moja amemaliza paper ..mwanzo ilibidi wamuwekee mtego wakidhani ameingia na majibu!
Mimi huwa ninaongea peke yangu mambo mengi ila sitoi sauti wala gestures ila dogo ni sauti hadi vitendo
 
Mkuuu haraka sana iyo ring ya dhahabu itupe mapema kabla mabadiliko ya maumbo hayajaanza.
 
Niliwahi kusikia watu wanaoongea wenyewe ubongo wao unafanya kazi kuzidi normal, mara nyingi watu wa aina hii huwa wanatakiwa kutumika kwenye taaluma km za utafiti/ugunduzi maabara n.k ila kwa kuwa wabongo hatujawahi kuwa serious huu uzi utajaa replies za utani tu.
Mkuu sijajua unadili na mishe gani ila kwa ushauri ili kuupooza ubongo wako jaribu kuwa na watu ila pia siku hizi kuna mitandao km hivi so waweza kuitumia pia. Kumbuka kila ufanyalo linaratibiwa na ubongo.
👏👏👏👏👏👏
 
Binafsi ni mtu wa kujitenga sana, sio mtu wa kujichanganya kabisa na sijawahi kuwa bored ni simply because I have a tendency of talking alone, ninaweza kukaa peke yangu na kuanza kuongea kwa muda mrefu hata masaa mawili.

Mtu akiniona huwa nashtuka sana na kuanza ku-pretend kama naimba [emoji23][emoji23]

Nimejitahidi sana kuacha hii tabia lakini nashindwa kila nikifumwa huwa najiapia kwamba sirudii tena, lakini naishia kurudia kama awali.

Je, hii ni kawaida? Nawezaje kuacha hii tabia?
Funga mdomo na rubber band, kama bado, tumia solar tape kabisa ubane mdomo wote, funga zungushia na koo yote banaa banaa. Kama bado, chukua bubble gum uwe unatafuna tafuna kila siku. Kama bado nenda haraka Mirembe hosp upate matibabu haraka, huo ni ukichaa.
 
Back
Top Bottom