Msaada: Nawezaje kufungua akaunti ya UTT?

Sure Mkuu
 
Kijana penda risk
Hizo mbio na TRA, Manisipaa, Fire, TMDA, TBS na Competitors ndio utamu wenyewe wa biashara

#YNWA
 

Naomba ufafanuzi zaidi hapo kwenye mfuko wa kujikimu, kwa mfano nikijiunga kwa kianzio cha 2m, means ntapata gawio kila baada ya miezi mitatu, sasa nataka kuja ili niendelee kupata hili gawio ,wakati nataka kukuza mfuko itanibidi niweke tena 2m, au hata kiwango kidogo? ,km hapo naona wamesema kiwango cha chini cha kukuza mtaji ni 5k
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…