Msaada: Nawezaje kufungua akaunti ya UTT?

Msaada: Nawezaje kufungua akaunti ya UTT?

Weekend ni hakuna gawio kabisa, watakuja kufidia Ela ya jumatatu, so Kama huwa unapata elfu 2 tegemea Kati ya elfu 3 Hadi elfu 4, hii naongea kwa experience

Lakini pia ambacho nimekiona Kama kwa mwezi kukiwa na Holidays nyingi, unaweza kuona siku moja wameweka ela hata elfu 10 kwa siku moja, nadhani Kuna namna kipindi Cha holidays pesa ambazo wanakua hawazitolei gawio Zina accumulate hivyo wanakuja kuzitoa kwa Mara moja nyingi

Asantee
Asante kwa huu ufafanuzi
 
Mie sitaki utajiri nataka hela ya kubadilisha mboga (mbususus)
😀😀😀😀😀😀 bhas pambana ufikishe hata 100m, ili hilo gawio kati ya 950k - 1m uwe unatumia ku spend na watoto
 
Back
Top Bottom