Msaada: Nawezaje kuziba matundu kwenye bati zilizowahi kutumika ili niezekee kwenye nyumba nyingine?

Kujazia tu, the best option ya kuziba matundu madogo ya kwenye bati lako ni kwa kutumia silicon,zipo za rangi na standard tofauti,zipo nyeupe,nyekundu,nyeusi,blue nk,ukiweka white silicon kwenye bati lisilo na rangi ni ok,ila ukiwa ndani utayaona matundu kama vile yapo wazi ila hayata vuja,otherwise tumia silicon kulingana na rangi ya bati lako, silicon tube moja inauzwa shilingi 4000!kingine unachoweza kutumia kuzibia bati lako ni aina fulani ya rangi nzito iitwayo bituminous, hii pia hutumika kwenye ma tank makubwa ya maji,wengine huiita Rito,ila hii si nzuri kwa bati la nyumba kwani baada ya muda mfupi tu sehemu ya bati iliyowekwa kizibio hicho huoza, silicon is the best.
 
Nashukuru mkuu
 
nenda duka lolote la vifaa vya ujenzi watakupa gundi fulani hivi ipo kawa dawa ya meno ila ni nyeusi,utaiweka kwenye matundu ya bati lako,pia hii hutumika kubandikia vioo kwenye madirisha,nimesahau jina kwa sababu mara ya mwisho niliiona mwaka 2007
Unaongelea silicon
 
Silicon ni nzuri kuliko hata tina, tina ikipigwa sana na juu hupasuka nadhani, nunua white silicon ni nzuri, usichukue black itaharibu muonekano wa bati chukua white
 
Rangi ipo ni nzuri kwa bati zilizo pata kutu.
nenda duka lolote la vifaa vya ujenzi watakupa gundi fulani hivi ipo kawa dawa ya meno ila ni nyeusi,utaiweka kwenye matundu ya bati lako,pia hii hutumika kubandikia vioo kwenye madirisha,nimesahau jina kwa sababu mara ya mwisho niliiona mwaka 2007
 
Tafuta silicon sealant. Ipo kama mafuta mgando ila ukiziba inaganda inashikana na bati inakuwa kama mpira au plastic.
Maduka yote ya hardware inapatikana kopo ni kati ya 4000- 5000 hivi.
 
Nafikiri hivyo... maana naitafuta

Ndio maana sijakuelewa hapo juu kumbe unatafuta rangi kwa ajili ya bati lililopata kutu !!!. mi nakushauri nunua bati jipya tu maana naonaga watu wanapaka rangi miezi 2 au 3 bati linapauka tena,bora lingekua halina kutu ila likipata kutu hiyo ni kubadili tu
 
Habari zenu wana jf,kutokana na bomoabomoa zinazoendelea kupisha ujenzi wa barabara nimejikuta naambulia bati na vitu vingine kama milango na madirisha.
Ninawaza kutumia bati zilezile pamoja na baadhi ya mbao,ili niezekee nyumba mpya kupunguza gharama za ujenzi ,bati ni za geji 28
Ni kwa namna gani naweza kuzuia bati hizo kuvuja wakati wa mvua?
Hizo zinazibika mkuu na bado zinafaa sana G28.nenda kwenye hardware waulize hiyo material ya kuzibia bati zilizotoboka utapata.
 
nenda duka lolote la vifaa vya ujenzi watakupa gundi fulani hivi ipo kawa dawa ya meno ila ni nyeusi,utaiweka kwenye matundu ya bati lako,pia hii hutumika kubandikia vioo kwenye madirisha,nimesahau jina kwa sababu mara ya mwisho niliiona mwaka 2007

Mkuu inaitwa ,silcon
 
Kwani fundi hawezi lengesha misumari kwenye matundu ya mwanzo? nimewaza tu
 
Vipi hii wakuu,gundi ya mbao hutumiwa zaidi na mafundi seremala kugundishia mbao,(hujulikana kama Gundi ya moto)nahisi kama inaweza kufaa pia kuna yeyote alishawahi kuijaribu?
20201004_174929.jpeg
 
Back
Top Bottom