Last KING Ontuzu
JF-Expert Member
- Jul 22, 2016
- 644
- 927
- Thread starter
- #21
Sijaelewa hapo ,nieleweshe mkuuTinner V/S Thinner
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijaelewa hapo ,nieleweshe mkuuTinner V/S Thinner
Nashukuru mkuuKujazia tu, the best option ya kuziba matundu madogo ya kwenye bati lako ni kwa kutumia silicon,zipo za rangi na standard tofauti,zipo nyeupe,nyekundu,nyeusi,blue nk,ukiweka white silicon kwenye bati lisilo na rangi ni ok,ila ukiwa ndani utayaona matundu kama vile yapo wazi ila hayata vuja,otherwise tumia silicon kulingana na rangi ya bati lako, silicon tube moja inauzwa shilingi 4000!kingine unachoweza kutumia kuzibia bati lako ni aina fulani ya rangi nzito iitwayo bituminous, hii pia hutumika kwenye ma tank makubwa ya maji,wengine huiita Rito,ila hii si nzuri kwa bati la nyumba kwani baada ya muda mfupi tu sehemu ya bati iliyowekwa kizibio hicho huoza, silicon is the best.
Unaongelea siliconnenda duka lolote la vifaa vya ujenzi watakupa gundi fulani hivi ipo kawa dawa ya meno ila ni nyeusi,utaiweka kwenye matundu ya bati lako,pia hii hutumika kubandikia vioo kwenye madirisha,nimesahau jina kwa sababu mara ya mwisho niliiona mwaka 2007
nenda duka lolote la vifaa vya ujenzi watakupa gundi fulani hivi ipo kawa dawa ya meno ila ni nyeusi,utaiweka kwenye matundu ya bati lako,pia hii hutumika kubandikia vioo kwenye madirisha,nimesahau jina kwa sababu mara ya mwisho niliiona mwaka 2007
Ok hivi kuna rangi special kwa ajili ya kupaka bati ?Rangi ipo ni nzuri kwa bati zilizo pata kutu.
Ok hivi kuna rangi special kwa ajili ya kupaka bati ?
[emoji3][emoji3]Nafikiri hivyo... maana naitafuta
Nafikiri hivyo... maana naitafuta
Unaongelea silicon
Hizo zinazibika mkuu na bado zinafaa sana G28.nenda kwenye hardware waulize hiyo material ya kuzibia bati zilizotoboka utapata.Habari zenu wana jf,kutokana na bomoabomoa zinazoendelea kupisha ujenzi wa barabara nimejikuta naambulia bati na vitu vingine kama milango na madirisha.
Ninawaza kutumia bati zilezile pamoja na baadhi ya mbao,ili niezekee nyumba mpya kupunguza gharama za ujenzi ,bati ni za geji 28
Ni kwa namna gani naweza kuzuia bati hizo kuvuja wakati wa mvua?
nenda duka lolote la vifaa vya ujenzi watakupa gundi fulani hivi ipo kawa dawa ya meno ila ni nyeusi,utaiweka kwenye matundu ya bati lako,pia hii hutumika kubandikia vioo kwenye madirisha,nimesahau jina kwa sababu mara ya mwisho niliiona mwaka 2007
kweli mkuu.Moshi hazipo kabisa nimetafuta mji mzima labda Dar ndio zitakuwepo
nimekulewa Mobutu kumbe ni zile za CHADEMA, safari hii sijui madiwani wangapihapo nilikuwa nazungumzia antenna ya Tv mkuu,jamaa wa bati ni mwingine
Thinner /Tina/Tinner ni kwa ajili ya kuondolea rangi km imedondokea pasipotakiwaKwani Tinner ina matumizi gani mkuu!
Tupe hiyo elimu hapa bossNafundisha wanatumia silicon na pamba, mimi nimefanya hivyo kwenye kupanda changu....
Dar zinejaa,kweli mkuu.Moshi hazipo kabisa nimetafuta mji mzima labda Dar ndio zitakuwepo