Msaada ndugu zangu, ndoa yangu inaenda kudidimia

Mzazi kukuona uchi utotoni si sawa na ukubwani, tatizo ni wewe na kuna uwezekano madai ya mkeo ni kweli. Jitambue...
 
Ushauri gani tena hapo unaepushwa na majanga ya mbeleni. Acha aonoke uanze upya mapema kabla hujachelewa.
 
Kama kweli yaliyoandikwa ni ya kweli basi huyu mtoa mada hana akili kabisa
Mama yako na ww mtoa mada wote ni wajinga wa mwisho, mwanaume wa miaka 33 unavua nguo uchi wa mnyama mbele za mamako, halafu mamako anaingia chumbani kwako kufanya nini? Daah ukisikia maajabu ya Dunia ndo haya
 
Hebu tuthibitishie kama haya unayosema ni ya kweli!!πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™
 
Nyu vesheni....kweli kuishi kwingi kuona mengi na bado kumbe sijaona/kusikia hayo mengi.

Badilika kaka kwa umri wako kukaa chipwi mbele ya mzazi wako khaa! Hadi mbingu zimeshtuka!
 
NANUKUU KUTOKA KWENYE UZI WAKO MWENYEWE.

"Basi mimi nikatoka hivyo hivyo nikiwa uchi nikajifuta na kupaka mafuta mbele ya mama na mke wangu kabla sijamaliza mke wangu alitoka huku akilia.

Mimi na Mama wote tulishangaa kwani yeye alishawahi kuniona uchi na hata Mama yangu ameniona uchi sikuona kitu cha ajabu. Kuna siku nyingine mke wangu aliingia chumbani akanikuta niko uchi navaa nguo na Mama yangu kaka kitandani tunaongea. Aliongea kwa hasira na kutoka tena huku akilia! Mama alikasirika kidogo kwani aliona kama dharau"
 
NIMEISHIA HAPO MKE WAKO KATOKA ANALIA, WEWE KWELI UTAKUA UNAMT*MBA MAMA YAKO, JAPO SIJAMALZA STORY, NA INAONEKANA MAMA YAKO HATA MAUMBILE YAKE YAMEKAA KISHANGINGI, KAMA HII STORY SIO CHAI BASI WEWE HUTAKAA UJE UTULIE NA MWANANKE KWANI HATA MAMA YAKO HATAKI UOE ANA WIVU NAWEWE.

YANI HUU NI USHENZI MTUPU
 
Mmh pamoja wanasema mtoto hakui kwa mama lakini swala la wewe kukaa uchi chumbani kwenu wewe na mama yako na mkeo akiwepo hii hapana dogo. Wewe huna akili. Pamoja na kuwa mama yako alikuzaa na al8kulea hadi hapo ulipo bado ukisha fika umri wa mtu mzima huwez endelea kukaa uchi mbele yake. Unatakiwa kumheshimu. Mama yako anaishi pekee yake. Kukuona uchi ni rahis kupata nyege mkatiana. Wewe hutaweza kuishi na mwanamke aise. Wewe ni baby mama mno.

Haya ndo madhara ya single mother kulea watoto wa kiume. Shida hii itakuwa kubwa sana miaka 10 hadi 20 ijayo.

MAMA yako sawa. Ila swala la kumshirikisha kila kitu wakati mkeo yupo nayo hiyo ni shida. Huwez kuwa na maamuzi ya pekee yako. Wewe na mkeo hamuwezi fanya maendeleo. Kama kweli unataka kuishi na mkeo. Basi fanya haraka sana punguza hayo mawasiliano na mama yako.

MAMA yako Alisha andika kitabu chake wewe ni sehemu ya kitabu chake. Kitabu hicho kimeshauzwa. Ni zamu yako kuandika kitabu cha familia yako. Siyo ya mama yako tena. Watoto wako utawasimulia nini ukiendelea kudeka kwa mama. Siku akifa utajinyonga wewe. Utaona dunia ndo imefika mwisho. Jitegemee.
Maandiko yanasema Wewe na mkeo mtawaacha wazazi wenu mtaenda kuishi nchi ya mbali. Wewe na mkeo. Fanya imagination kuwa wewe na mkeo mmetupwa katikati ya bahari au jangwani. Je utategemea mama yako?

Ndoa ni mawasiliano kati yako na mkeo. Ndoa ni sawa na ukiwa jangwani mko wawili je mtakimbia.? Zaidi mtaungana ili kutengeneza mazingira mazuri ya kupata chakula, maji, malale pazuri. Ukifikiria kwa philosophy Hii huwezi mwacha mkeo, wala huwezi m tegemea mama yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…