Msaada ndugu zangu, ndoa yangu inaenda kudidimia

Ndio tatizo la mali za kishirikina, unapewa masharti ya kifala kama haya!
 
Sijamaliza hata kusoma. Wewe ni mpumbavu. Hata hiyo miezi sita mkeo kakuvumilia sana. Mjinga wa mwisho. Unauaibisha uanaume.
 
chai
 
Una miaka 30+ unakaa uchi mbele ya mama yako.... we jamaa umenikera sana..
 
alaf mama anakupaka mafuta ya matrako pia au sio 😆
 
Duh, hii takataka nayo inakuja kuomba ushauri humu jamani? Hata huna aibu kufichua upumbavu wako na hilo mama lako? Mke wako ana akili kuliko wewe ni bora aombe hiyo talaka maana ameolewa na toto la mama! Kama hujamla huyo mama yako unasubiri nini?
 
Nimeacha kusoma takataka Yako pale uliposema Huwa unavua nguo zote mbele ya mama yako.wewe ni kichaa
Mimi mwenyewe nimeishia hapo hapo... Mpumbavu sana huyo mtoa mada.
 
Hii ni chai ya rubi kabisa na imepoa ile mbaya mwanangu

Anasema wamezaliwa watatu yeye ndiye wa mwisho
Anaendelea kuwa uchi mbele ya mamaye hana haya ila wadogo zake hawapendi na hawataki kabisa

Siku nyingine ukitunga uongo uurudie mara kumi kabla ya kupost

Shababshi
 
Kuna nyuzi unasoma huku umekunja ndita unashangaa wengine akili zao wanazipeleka wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…