Msaada: Ngozi yangu imeharibika, tazama picha hii

Msaada: Ngozi yangu imeharibika, tazama picha hii

Ibrahim daud

JF-Expert Member
Joined
Feb 10, 2013
Posts
609
Reaction score
524
Habarini wataalamu,

Nna mwezI Sasa nilianza kuona vidoti vidogo vidogo mbele kumbe mgongoni vimezagaa.

Siku naenda faragha na mchumba wangu ndo kaniambia umeharibika.

Ushauri wa dawa itakayo tibu naombeni mawazo yenu

IMG_20220308_123429_276~2.jpg
 
Unaogea sabuni ya kipande?

Hiyo ni mba wa ngozi....muone dr inapona
Kuna mdau hapo juu amesema upime HIV sidhani kama ni kweli, mba wa ngozi hauna uhusiano na kushuka kwa kinga ya mwili.
 
Ukiona huponi nenda seifee au aghakhan kachome sindano ugonjwa utaisha
 
Unaogea sabuni ya kipande?




Hiyo ni mba wa ngozi....muone dr inapona
Kuna mdau hapo juu amesema upime HIV sidhani kama ni kweli mba wa ngozi hauna uhusiano na kushuka kwa kinga ya mwili
Ina uhusiano mkubwa sana. Japo sio lazima kila anayepata awe na HIV ila magonjwa ya hivyo yamekuwa yakionekana zaidi kwa patients with HIV infection.
 
Back
Top Bottom