Msaada: Ngozi yangu imeharibika, tazama picha hii

Msaada: Ngozi yangu imeharibika, tazama picha hii

Ina uhusiano mkubwa sana. Japo sio lazima kila anayepata awe na HIV ila magonjwa ya hivo yamekuwa yakionekana zaidi kwa patients with HIV infection.
Hapana mkuu.... Hapo jijini watu wengi wana mba wa ngozi..... Sioni uhusiano na HIV
 
Hapana mkuu.... Hapo jijini watu wengi wana mba wa ngozi..... Sioni uhusiano na HIV
Pia fungus za sehemu nyingine kama mdomoni(oral thrush) na fungus za kwenye koo ndiyo zenye uhusiano na kuwa na upungufu wa kinga mwilini
 
Mba zinatibika kirahisi sana. Nunua mafuta ya break, ujipake mara 3 kwa siku kila baada ya kuoga. Paka kwa kusugua kidogo na kitambaa safi. Two weeks later utaleta mtejesho.

Note: Mafuta ya break hayana harufu mbaya na hayawashi.
 
Hizi changamoto zimekuwa nyingi sana kipindi hki sasa basi
Katafte hizo dawa ya kunywa na yakupaka
Ya kunywa uta tumi moja kila siku kwa mda wa siku 30 kama ni usiku ni usiku tu kama utameza qsubuhi ni asubuhi tu

Yakupaka uta paka usiku kama unaenda kulala
Na asubuhi

Karibu
20220119_163220.jpg
 
Mba zinatibika kirahisi sana. Nunua mafuta ya break, ujipake mara 3 kwa siku kila baada ya kuoga. Paka kwa kusugua kidogo na kitambaa safi. Two weeks later utaleta mtejesho.

Note: Mafuta ya break hayana harufu mbaya na hayawashi.

Mafuta ya break ni makali mno, isije ikamletea cancer.
 
Habarini wataalamu,

Nna mwezI Sasa nilianza kuona vidoti vidogo vidogo mbele kumbe mgongoni vimezagaa.

Siku naenda faragha na mchumba wangu ndo kaniambia umeharibika.

Ushauri wa dawa itakayo tibu naombeni mawazo yenu

View attachment 2143197
Jaribu pia kupaka mafuta ya break, Inaweza ikawa ni skin infection huwa yanasaidia pia.
 
Ina uhusiano mkubwa sana. Japo sio lazima kila anayepata awe na HIV ila magonjwa ya hivo yamekuwa yakionekana zaidi kwa patients with HIV infection.
Hapana sio fungus ya namna hiyo...yenye uhusiano na HIV ni ile ya mdomoni na koo.
 
Ndiyo wanaitwa Tinea versicolor kama sijakosea.

Mtoa mada hiyo inatibiwa kwa kupaka anti fungal creams , nena duka la dawa.

Pia ni vizuri ukapima HIV kama bado.
Hapo kweny HIV hapo ndio shughuli
 
Back
Top Bottom