Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Noma kweli yani mkuu! Ila kuna ile ngozi ya kubadilika inakuwa kama ya mzee hivi unakuta kijana ila ana ngozi imejikusanya kama ya mzee😅 ile unaizungumziaje mkuu maana vijana tupo hatarini sana katika kufanya utalii wa ndani!@Extrovert View attachment 2143930
Huwa napata hisia za ajabu sana nikikutana na mtu wa namna ile sababu nina ndugu nae alikuwaga muathirika alikuwa na ngozi ya vile.