Msaada: Ngozi yangu imeharibika, tazama picha hii

Unaogea sabuni ya kipande?

Hiyo ni mba wa ngozi....muone dr inapona
Kuna mdau hapo juu amesema upime HIV sidhani kama ni kweli, mba wa ngozi hauna uhusiano na kushuka kwa kinga ya mwili.
 
Ukiona huponi nenda seifee au aghakhan kachome sindano ugonjwa utaisha
 
Unaogea sabuni ya kipande?




Hiyo ni mba wa ngozi....muone dr inapona
Kuna mdau hapo juu amesema upime HIV sidhani kama ni kweli mba wa ngozi hauna uhusiano na kushuka kwa kinga ya mwili
Ina uhusiano mkubwa sana. Japo sio lazima kila anayepata awe na HIV ila magonjwa ya hivyo yamekuwa yakionekana zaidi kwa patients with HIV infection.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…