Noma kweli yani mkuu! Ila kuna ile ngozi ya kubadilika inakuwa kama ya mzee hivi unakuta kijana ila ana ngozi imejikusanya kama ya mzee😅 ile unaizungumziaje mkuu maana vijana tupo hatarini sana katika kufanya utalii wa ndani!@Extrovert View attachment 2143930
Hamna hata shughuli ni kupima kujitambua na kuishi.Hapo kweny HIV hapo ndio shughuli
Huo unaitwa pruritic papular eruption picha hiyo hapo chini kwa hisani ya gugu, Kiufupi Ukimwi unatisha nenda kagugu haya magonjwa mengine ya ngozi utapata jibu.Noma kweli yani mkuu! Ila kuna ile ngozi ya kubadilika inakuwa kama ya mzee hivi unakuta kijana ila ana ngozi imejikusanya kama ya mzee[emoji28] ile unaizungumziaje mkuu maana vijana tupo hatarini sana katika kufanya utalii wa ndani!
Huwa napata hisia za ajabu sana nikikutana na mtu wa namna ile sababu nina ndugu nae alikuwaga muathirika alikuwa na ngozi ya vile.
Nipo madam, sema nili ressuruct tu kwa ID ingine for sometime. Hii ID imejawa na kero za kupigwa Ban kwa vitu ambavyo havina kichwa wala miguu! Naishi kama Mbowe nikiwa na hii IDHamna hata shughuli ni kupima kujitambua na kuishi.
Umehadimika sana.
Kwa kweli kuna haja ya kukomaa na nyeto tu round hii maana hata mpenzi mmoja nae ni miyeyusho siku hizi. Analiwa na wengi bila wewe kujua japo mlianza kwa vipimo.Huo unaitwa pruritic papular eruption picha hiyo hapo chini kwa hisani ya gugu,Kiufupi Ukimwi unatisha nenda kagugu haya magonjwa mengine ya ngozi utapata jibu.
Karposi's sarcoma
HPV
Mulloscum contagiosum
Tuvae viatu [emoji4]View attachment 2143952
Halafu kweli mpaka kufika leo jioni nitaona alama ya banned kwenye hii ID.Nipo madam, sema nili ressuruct tu kwa ID ingine for sometime. Hii ID imejawa na kero za kupigwa Ban kwa vitu ambavyo havina kichwa wala miguu! Naishi kama Mbowe nikiwa na hii ID
Mveshe chupi ya chumaKwa kweli kuna haja ya kukomaa na nyeto tu round hii maana hata mpenzi mmoja nae ni miyeyusho sikuhizi. Analiwa na wengi bila wewe kujua japo mlianza kwa vipimo.
Hahahahah utaweza sasa yani dah tupo katika danger mnoMveshe chupi ya chuma
Anachapwa asubuhi na huyu jioni anakuletea wewe. And vice versa iz truKwa kweli kuna haja ya kukomaa na nyeto tu round hii maana hata mpenzi mmoja nae ni miyeyusho sikuhizi. Analiwa na wengi bila wewe kujua japo mlianza kwa vipimo.
Walio kwenye ndoa ndo wapo kwenye hatari zaidi kuliko wagegedaji.Hahahahah utaweza sasa yani dah tupo katika danger mno
Ili iweje!Rudia tena kuchek HIV
Is not true wala kazi za shurba zinabana sana hata muda wa kutafta malaya unakosekana. Ikifika jioni uko super exhausted wenye huo muda ni wale wanaoshinda ofisini kwenye ac.Anachapwa asubuhi na huyu jioni anakuletea wewe. And vice versa iz tru
Hamna leo nitakuwepo.Halafu kweli mpaka kufika leo jioni nitaona alama ya banned kwenye hii ID.
Asante nimeanza Leo nimeona mabadiliko yamefifiaMba zinatibika kirahisi sana. Nunua mafuta ya break, ujipake mara 3 kwa siku kila baada ya kuoga. Paka kwa kusugua kidogo na kitambaa safi. Two weeks later utaleta mtejesho.
Note: Mafuta ya break hayana harufu mbaya na hayawashi.
Hizi changamoto zimekuwa nyingi sana kipindi hki sasa basi
Katafte hizo dawa ya kunywa na yakupaka
Ya kunywa uta tumi moja kila siku kwa mda wa siku 30 kama ni usiku ni usiku tu kama utameza qsubuhi ni asubuhi tu
Yakupaka uta paka usiku kama unaenda kulala
Na asubuhi
Karibu View attachment 2143678
Sawa chief,,,
AsanteJaribu pia kupaka mafuta ya break, Inawez ikawa ni skin infection hua yanasaidia pia.
YahNatumae mleta mada umepata muongozo..