Youbettersleep JF-Expert Member Joined May 3, 2019 Posts 955 Reaction score 1,672 Jul 15, 2025 #1 Naombeni elimu hapa ndugu zangu” hivi inawezekana mwanamke akawa na Mimba mpka ikafika miezi mitatu na asiwe anajua”??? Kwa hili nimechoka akili.
Naombeni elimu hapa ndugu zangu” hivi inawezekana mwanamke akawa na Mimba mpka ikafika miezi mitatu na asiwe anajua”??? Kwa hili nimechoka akili.
Vulmeko JF-Expert Member Joined Jul 15, 2025 Posts 388 Reaction score 332 Jul 15, 2025 #2 Youbettersleep said: Naombeni elimu hapa ndugu zangu” hivi inawezekana mwanamke akawa na Mimba mpka ikafika miezi mitatu na asiwe anajua”??? Kwa hili nimechoka akili. Click to expand... Ndiyo. Kuna mimba zinaitwa “cryptic pregnancies”, hizi zinaweza kugundulika baadaye sana.
Youbettersleep said: Naombeni elimu hapa ndugu zangu” hivi inawezekana mwanamke akawa na Mimba mpka ikafika miezi mitatu na asiwe anajua”??? Kwa hili nimechoka akili. Click to expand... Ndiyo. Kuna mimba zinaitwa “cryptic pregnancies”, hizi zinaweza kugundulika baadaye sana.
Satan JF-Expert Member Joined Aug 9, 2017 Posts 2,201 Reaction score 3,652 Jul 15, 2025 #3 Ukiwa unakwepa kuzaa kwa hiyari, basi mwenzio atakushtukiza kwa mimba ambayo kwa muda huo hutaweza kulazima aitoe.
Ukiwa unakwepa kuzaa kwa hiyari, basi mwenzio atakushtukiza kwa mimba ambayo kwa muda huo hutaweza kulazima aitoe.