Msaada: Ni mambo gani ya kuzingatia ukiwa M.C wa hafla mbalimbali?

Golden 45 Minutes...ukiwa beginner au mc ukiwa ktk hadhira mpya kabisa kwako zitumie vema dk 45 za mwanzo....ndani ya dk hizo hakikisha hadhira yako inakubali kwamba leo wana.mc....ukibug hapo wakikujaji juwa wewe sio utapata shida sherehe nzima

okey i get it golden 45 mints
 

asante sana mkuu nitakufata kwa ushauri zaidi
 

asante sana mkuuu

unajua mahalli penye pesa au ukipa tune kwamba lazima nifanye at my best ili nipate ela basi utatumia juhudi zote kuhahkikisha unafanikisha
zamani u MC ilikua ni kujitolea tu lakini kwa sasa ni biashara so PIA NINA MOYO WA KUFANYA HII KAZI KWANI MBALI NA KUNIINGIZIA ELA PIA na enjoy kuonhoza watu katika mambo mengi bila hata kupewa chochote


asnate nimejifunza mengi
 

Mungu anipe afya,baraka,hekima na busara

thanx
 
Ila huo u-MC wa 3mil/ week mmmmh!! Nijuavyo Mimi ni kuwa ma-MC mara nyingi wanachukuliwa pamoja na muziki ambapo sidhani kama hata laki tano zitafika kwa mc na vyombo vya music, hapa sijazungumzia uchache wa tenda na ukizingatia kuwa sherehe nyingi huwa zinafanyika jumamosi na jumapili.
 

Zaidi ya kupewa pesa pia utakula palau na soda bure kwenye masherehe wakati wenzako walichanga.
 
haa kwel hata ujaribu kutafiti rugha muhmu za watu unako enda kupiga kazi afu ujue wanatakaje usikurupuke maana uemc. unaitaji ekma na umakini sana
 
Hapo ndo pa muhimu sana sasa namna ya kujua makabila mbalimbali what they and what to do kupata japo nayajua machache kwa kuudhuria sherehe na hafla mbalimbali ila still nahitaji kujua sana
Pia kujua baadhi ya aya mbalimbali kwenye vitabu vitakatifu zinzoendana na tukio ili uwe una link up na matukio husika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…