masai dada..
Individuality is a vital key kwenye kila jambo. Hapa namaanisha kuwa stylish and kiasi fulani UNIQUE... Ahhmm.. ninavyoona, wewe umehamasika zaidi kwenye mshiko kuliko kutoa huduma, kitu ambacho napata mashaka kama utamudu kuifanya hii kazi kwa kuwa huna passion nayo from within.
Nevertheless; unaweza kujifunza kuipenda hii kazi taratibu (Mi sio MC though) na kuifanya vema! So nakushauri uhakikishe uwe unajikagua umefanikiwa kwa kiwango gani kufurahisha sherehe husika (umechangia kwa kiwango gani kuipendezesha shughuli na mwitikio umekuwaje) - Hili utaliona kutoka kwa wahudhuriaje baada ya sherehe (kuombwa contacts, au kusifiwa na watu mbalimbali, kuombwa kupiga picha n.k.).
Individuality again: Kwako na kwa wasifu uliojipambanua nao humu siku nyingi, unaonyesha ni kwa kiwango gani kama utaamua kuitumia vizuri hii IDENTITY ya kimasai, utafanikiwa (coz u seem to have some interests with Masai culture). So, nadhani ni wazo zuri sana na itavutia kama ukiwa MC MASAI (Jina utachagua mwenyewe)!
Nimesema Mengi. Fanyia kazi yatakayokufaa!
Asante!