Lafacha
Senior Member
- Feb 3, 2017
- 195
- 275
Wakuu heshima yenu, nimekuja mbele yenu nikiwa na swali moja tu ni software gani ambayo inaweza ikanisaidia kuhifadhi taarifa za namna hii.
Mfano:
Taarifa za watoto waliozaliwa nchi nzima mwaka 2022, nakihitaji nizihifadhi ambapo mtu mwingine akija kwenye hiyo software baada ya kuhifadhi taarifa zangu awe na uwezo wa kuaccess taarifa ya mkoa wowote na wilaya yoyote kwenye uo mkoa na akapata idadi ya watoto waliozaliwa ndani ya wilaya hiyo, wa kike kwa idaidi na wa kiume kwa idadi.
Nadhani nimeeleweka kwa kifupi.
Mnisamehe kwa mwandiko huu wa imla.