Msaada: Ni software gani au program ambayo inaweza kufanya haya?

Msaada: Ni software gani au program ambayo inaweza kufanya haya?

Lafacha

Senior Member
Joined
Feb 3, 2017
Posts
195
Reaction score
275
Wakuu heshima yenu, nimekuja mbele yenu nikiwa na swali moja tu ni software gani ambayo inaweza ikanisaidia kuhifadhi taarifa za namna hii.

20230117_211304.jpg

Mfano:
Taarifa za watoto waliozaliwa nchi nzima mwaka 2022, nakihitaji nizihifadhi ambapo mtu mwingine akija kwenye hiyo software baada ya kuhifadhi taarifa zangu awe na uwezo wa kuaccess taarifa ya mkoa wowote na wilaya yoyote kwenye uo mkoa na akapata idadi ya watoto waliozaliwa ndani ya wilaya hiyo, wa kike kwa idaidi na wa kiume kwa idadi.

Nadhani nimeeleweka kwa kifupi.

Mnisamehe kwa mwandiko huu wa imla.
 
Kuna njia nyingi sana mkuu, ila rahisi tumia tu notepad inakuja na simu ama PC tengeneza Table weka taarifa zako. Upload kama ni Onedrive ama Google ama mega drive as a folder kisha unakuwa na link unawapa watu wanaohitaji ku access. Hivi vyote ni bure.

Kama unataka kufanya vizuri zaidi waweza tengeneza website kama Vile NECTA halafu ukaweka hizo data ili kila mtu aone.
 
Shukran chief, ñimejaribu kuitafuta kwenye PC sijaiona

Niko naipakua ya kwenye simu
 
Mkuu huyo wa notepad kidogo napingana nae wewe install Excel kwenye pc yako kisha kwenye worksheet ustore data tumia formulas kufanya calculations
 
Ukiafiki wazo la Chief mkwawa nakukaribisha tujadili kuhusu kutengeneza website nzuri kwa ajili ya kufanikisha kazi uliyoeleza hapo juu.
Karibu.
 
Mkuu huyo wa notepad kidogo napingana nae wewe install Excel kwenye pc yako kisha kwenye worksheet ustore data tumia formulas kufanya calculations
Sawa mkuu ila ntachohitaji, nikihifadhi izo taarifa ukaja wewe kutafuta labda idadi ya watoto waliozaliwa Dodoma mwezi august.
Ukifungua tu iyo programm/software iyo mikoa yote

Uchague mkoa unaotaka
ILete wilaya zote
Uchague wilaya
Ilete miezi yote
ALafu uchague mwezi
Then ikupe majibu

Nadhani umenipata mkuu.
 
Wakuu heshima yenu, nimekuja mbele yenu nikiwa na swali moja tu ni software gani ambayo inaweza ikanisaidia kuhifadhi taarifa za namna hii.

View attachment 2485118

Mfano:
taarifa za watoto waliozaliwa nchi nzima mwaka 2022, nakihitaji nizihifadhi ambapo mtu mwingine akija kwenye iyo software baada ya kuhifadhi taarifa zangu awe na uwezo wa kuaccess taarifa ya mkoa wowote na wilaya yoyote kwenye uo mkoa na akapata idadi ya watoto waliozaliwa ndani ya wilaya hiyo , wa kike kwa idaidi na wakiume kwa idadi.

Nadhani nimeeleweka kwa kifupi.

Mnisamehe kwa mwandiko huu wa imla.
Excel inafanya vzuri tu au tumia google sheets
 
Ukiafiki wazo la Chief mkwawa nakukaribisha tujadili kuhusu kutengeneza website nzuri kwa ajili ya kufanikisha kazi uliyoeleza hapo juu.
Karibu.
nataka iwe inafanya kazi offline mkuu
 
Sawa mkuu ila ntachohitaji, nikihifadhi izo taarifa ukaja wewe kutafuta labda idadi ya watoto waliozaliwa Dodoma mwezi august.
Ukifungua tu iyo programm/software iyo mikoa yote

Uchague mkoa unaotaka
ILete wilaya zote
Uchague wilaya
Ilete miezi yote
ALafu uchague mwezi
Then ikupe majibu

Nadhani umenipata mkuu.
Tafuta Developer afanye hiyo kazi ni chaap tu
 
Microsoft excel connected with power BI (to handle large amount of data) inatosha kwa kazi yako!
 
Hizo data Kama unataka u-access wewe tu Excel inaweza ila ukizungumzia mtu mwengine aweze ku-access lazima utengeneze Web hapo tafuta developer
 
Hizo data Kama unataka u-access wewe tu Excel inaweza ila ukizungumzia mtu mwengine aweze ku-access lazima utengeneze Web hapo tafuta developer
Na haiwezi kuwa offline kama anavotaka yeye
 
Nina website kama una data nitakuwekea Bure ila inabidi ukubali baada ya kudisplay izo data chini kabsa nitaweka matangazo ya google (google ads)
 
EXCEL au Google Sheet kama unataka ku share na watu...
 
Back
Top Bottom