Shukran chief, ñimejaribu kuitafuta kwenye PC sijaionaKuna njia nyingi sana mkuu, ila rahisi tumia tu notepad inakuja na simu ama PC tengeneza Table weka taarifa zako. Upload kama ni Onedrive ama Google ama mega drive as a folder kisha unakuwa na link unawapa watu wanaohitaji ku access. Hivi vyote ni bure.
Kama unataka kufanya vizuri zaidi waweza tengeneza website kama Vile NECTA halafu ukaweka hizo data ili kila mtu aone.
Sawa mkuu ila ntachohitaji, nikihifadhi izo taarifa ukaja wewe kutafuta labda idadi ya watoto waliozaliwa Dodoma mwezi august.Mkuu huyo wa notepad kidogo napingana nae wewe install Excel kwenye pc yako kisha kwenye worksheet ustore data tumia formulas kufanya calculations
Excel inafanya vzuri tu au tumia google sheetsWakuu heshima yenu, nimekuja mbele yenu nikiwa na swali moja tu ni software gani ambayo inaweza ikanisaidia kuhifadhi taarifa za namna hii.
View attachment 2485118
Mfano:
taarifa za watoto waliozaliwa nchi nzima mwaka 2022, nakihitaji nizihifadhi ambapo mtu mwingine akija kwenye iyo software baada ya kuhifadhi taarifa zangu awe na uwezo wa kuaccess taarifa ya mkoa wowote na wilaya yoyote kwenye uo mkoa na akapata idadi ya watoto waliozaliwa ndani ya wilaya hiyo , wa kike kwa idaidi na wakiume kwa idadi.
Nadhani nimeeleweka kwa kifupi.
Mnisamehe kwa mwandiko huu wa imla.
Tafuta Developer afanye hiyo kazi ni chaap tuSawa mkuu ila ntachohitaji, nikihifadhi izo taarifa ukaja wewe kutafuta labda idadi ya watoto waliozaliwa Dodoma mwezi august.
Ukifungua tu iyo programm/software iyo mikoa yote
Uchague mkoa unaotaka
ILete wilaya zote
Uchague wilaya
Ilete miezi yote
ALafu uchague mwezi
Then ikupe majibu
Nadhani umenipata mkuu.
Hapo haiwezekani labda iwe na fixed contentnataka iwe inafanya kazi offline mkuu
Vipi kama website ikiwa protected kwamba mtu ata log in kwanza ndio apate hizo taarifa?nataka iwe inafanya kazi offline mkuu
Na haiwezi kuwa offline kama anavotaka yeyeHizo data Kama unataka u-access wewe tu Excel inaweza ila ukizungumzia mtu mwengine aweze ku-access lazima utengeneze Web hapo tafuta developer