Boeing 747
JF-Expert Member
- Mar 30, 2018
- 3,515
- 9,415
Una maanisha nini?
Ndio hizo hizo uzionazo subiri uje pale bondeni na kwa wazee wa long room ndio utajua ni bei rahisi au bei kubwa!
Nakushauri mkuu nenda kwa mganga, atakusaidia kuirudisha gari yako kama zamaniHabari zenu humu,
Juzi nilikuwa natoka Dar es salaam na gari aina ya Toyota Porte, nikatoka vizuri Dar es salaam tulipofika Manyoni gari ikachemsha, tukaenda kwa fundi akafungua injini akasema gasket zimeungua na tena cylinder head imepinda, sasa ikarekebishwa pale ikakaa vizuri,
Tukiwa njian kulekea Singida mjini taa ya check engine ikawaka tukakagua gari tukagundua kwamba oil ilikuwa haipandi sasa tukatafuta fundi usiku ule ule akarekebisha chujio la oil kule kwenye sample,
safari ikaendelea tulipofika Nzega tukasikia kitu kama kimedondoka kusimama kuangalia, tukakuta vichuma kama piston, na inaonesha injini imefumukia karibu na sample, sasa safari ikaishia hapo.
Je, wataalam humu ndani, nifanyeje? Makosa yalikuwa wapi? Manake service nilifanya wakati naanza safari
Thanks broKati ya hizo mbili chukua Mark X.
Ha ha ha gari hata upewe bure jamaa zetu wanaipangia bei ili wakutandika kodi.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mtu anaweza kuona gari beforward bei FOB ni $200 akadhani ni rahisi,
Hajajua wazee wa meli hawajaweka chao kupata CIF,wazee wa bandari bado,na kuna wale wasioshiba wazee wa TRA,Wazee wa bima bado..lazima tu alitelekeze bandarini..
Sent using Jamii Forums mobile app
Kabisaa.....bongo ni pahala pengine kabisaa.[emoji1787][emoji1787]Ha ha ha gari hata upewe bure jamaa zetu wanaipangia bei ili wakutandika kodi.
Siyo watanzania ni huyo mtoa mada.Ila sisi watanzania tuna akili ya ajabu sana, hivi coolants zina gharama gani za ajabu mpaka mtu aanze kuweka maji?
Inaitwa Oil sump na siyo samplesample
Umenikumbusha Toyota Port nilikuwa nayo ikafanya mchezo huu huu ya kwako iliyokufanyia.
Nadhani hizi gari toyota zenye cc chini ya 1700 si recommended kwa safari ndefu. Ni in town cars.
Safari ndefu inabidi uende mwendo wa kobe kwa kupumzika pumzika.
Kama ni mtu wa safari utlist pendelea cc kuanzia 2000 kwenda mbele. Ikiwa six unaenjoy safari zaidi.
Coolant unaweza kukuta lita 1 mpaka 12000/-..Ila sisi watanzania tuna akili ya ajabu sana, hivi coolants zina gharama gani za ajabu mpaka mtu aanze kuweka maji?
Huyo jamaa ni mzembe Kwenye kutunza gari kwasabb kama Safar ndefu mimi mwenyewe nimefanya safar nyingi Tu ndefu na carina ti na sijapata shida yeyote njiani,mwaka Jana December nimefanya Safar kutoka DAR,Mwanza Hadi bunda na nikaingia mwibara,kisorya Hadi ukerewe na gari ilikuwa poa mwanzo mwisho..
Gari yeyote ukishaanza kutumia maji ya dawasco badala ya coolant usitegemee gari hiyo kudumu mazingira yetu
Pamoja na mambo mengine, uimara wa gari hutegemea matunzo sahihi na kwa wakati. Carina Ti mostly Cc 1490, sio ndogo kivile. Nina rafiki anayo, anaishi Dar na kwao ni Sumbawanga, ameshaenda mara kadhaa ni iko sawa tu.Sijui kama ni kweli ila nna jamaa yangu ana carina ya cc1490 na ashapiga sana root za mbeya dar na huwa anaikoleza sana.
Ndio hizo hizo uzionazo subiri uje pale bondeni na kwa wazee wa long room ndio utajua ni bei rahisi au bei kubwa!
broh naomba elimu kidogo hapa. nakiri wazi sina uzoefu wowote na magari ila nina katoyota ist nimenunua muda na nilinunua kwa mtu. narudia sina uzoefu wa magari. nachoomba kukua hyo coolant inasaidia nini?? je ina tofauti gani na maji?? naomba elimu hapa broh! natanguliza shukrani kwako!!Coolant unaweza kukuta lita 1 mpaka 12000/-..
Maji ya bomba ndoo ya lita 20 jero...
So, most of the people go for the cheapest..
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii ni Gx 100 Chaser - Avante; yaani kama vile ina addiction flani, road trips utafurahia mwenyewe. Ila kikubwa iko well maintained.Kuna watu wengi tu wana gx 100 na gx 90...zipo barabarani mpaka sasa...full ac, full power....gari kama hizi unadhani zinakosa miaka 10+ rodini..?
Ni kweli suala la uchumi wetu duni ndiyo unasababisha yote hayo...
Lakini tukiachana na umasikini.....
Point hapa ni kwamba gari likitunzwa linaweza kukaa miaka zaidi ya 10 ilihali liliingia nchini likwa used
Sent using Jamii Forums mobile app
Coolant haichemki haraka kama majibroh naomba elimu kidogo hapa. nakiri wazi sina uzoefu wowote na magari ila nina katoyota ist nimenunua muda na nilinunua kwa mtu. narudia sina uzoefu wa magari. nachoomba kukua hyo coolant inasaidia nini?? je ina tofauti gani na maji?? naomba elimu hapa broh! natanguliza shukrani kwako!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Unanunua wapi hio Fuga kwa 6m?fuga mil 6 sio boomu
Coolant ni kiminika chepesi tu kama maji, kinawekwa kwenye radiator ya gari ili kupooza injini..broh naomba elimu kidogo hapa. nakiri wazi sina uzoefu wowote na magari ila nina katoyota ist nimenunua muda na nilinunua kwa mtu. narudia sina uzoefu wa magari. nachoomba kukua hyo coolant inasaidia nini?? je ina tofauti gani na maji?? naomba elimu hapa broh! natanguliza shukrani kwako!!
Sent using Jamii Forums mobile app
😅 beforward bossUnanunua wapi hio Fuga kwa 6m?
Coolant ni liquid ambayo imetengenezwa kwa ajili ya kuweka kwenye radiator(rejeta) ya gari ili iweze kupooza injini.broh naomba elimu kidogo hapa. nakiri wazi sina uzoefu wowote na magari ila nina katoyota ist nimenunua muda na nilinunua kwa mtu. narudia sina uzoefu wa magari. nachoomba kukua hyo coolant inasaidia nini?? je ina tofauti gani na maji?? naomba elimu hapa broh! natanguliza shukrani kwako!!
Sent using Jamii Forums mobile app