Msaada nifanye nini niwe na amani?

Msaada nifanye nini niwe na amani?

assalam wanajamvi? bila shaka mpo salama na mnaendelea vyema na majukumu!
Acha kujiliza mkuu, pambana wewe ni mwanaume. Hiyo kampuni kwani ni ya baba yako? Anza kuchakarika kutafuta kazi nyingine upesi sana na kwa kasi. Shida ya kukaa kampuni moja miaka kibao hadi unazoeleka na kuonekana huna jipya tena.

TAFUTA KAZI SEHEMU NYINGINE, KISHA UKIPATA U RESIGN HAPO UPESI. Ujifunze sasa, usikae tena organization moja muda mrefu unless ni kampuni yako au ya baba yako, kukaa kampuni moja muda mrefu ni recipe nzuri sana ya uvivu, uzembe, majungu,kufanya kazi kwa mazoea (business as usual) na maslahi (mshahara) hafifu.

Mimi sehemu niliyokaa sana nilikaa miaka mitatu. Kampuni zingine zote ni kati ya mwaka mmoja hadi miaka miwili, nimeishia zangu...!!Unaondoka kila mtu anasikitika anataka ubaki. Kanuni yangu nikianza tu kazi, baada ya mwaka mmoja naanza kutafuta kazi nyingine.
 
Pole. Tulia kwanza upone. Mambo ya kupigania vyeo kwa sasa yape kisogo. We hakikisha kwanza ugali unapatikana huku hali yako ya kiafya ikizidi kutengamaa. Ukisha kaa sawa ndio mengine yatafuata.
 
Hiyo sio ofisi, hiyo sio kazi bali ni mishe mishe
 
Pole sana kwa kuumwa, Mshukuru Mungu kwa kupata nafuu.
USiache kazi kama hujapata kazi nyingine.
kama Bosi hakusumbui hao wengine unawalia jiwe. Endelea na kazi kampuni ilipe kodi
assalam wanajamvi? bila shaka mpo salama na mnaendelea vyema na majukumu!
.
.
bila kupoteza muda niende moja kwa moja kwenye mada, mimi ni mwajiriwa wa taasisi moja binafsi, mwaka jana nilipata changamoto mbaya sana inayonipelekea kukosa amani sana.
.
.
kazini mimi ni mchangamfu sina shida na mtu, na hua mara nyingi nakaa kimya, kwenye kujadili mambo ya watu, January 2022 nilipewa vitengo viwili nivisimamie, kimoja nisimamie mwenyewe kingine nisimamie na mwenzangu, nilikubali kwa mikono miwili lkn baadae mwenzangu akaniambia kwasababu yeye amepangiwa kitengo kizito kidogo anaomba mm nimsaidie tuu, kama kutakuwa na shida atakuwa na mimi!
.
.
nilikubali maana jamaa ni mtu wa maneno mengi na mjuaji sana nikaanza kukomaa!
.
.
kazini kuna mashindano sana ya kampuni mbili za mmiliki huyu (ana kampuni mbili) wanashindana sana uzalishaji, kwa upande wa kampuni ya pili idara yangu aliwekwa jamaa moja ambae alifukuzwa kutoka kwetu na mkuu wetu pale, hivyo alikua mshindani wangu mkubwa japo mimi mwanzo sikujali sana!
.
.
ghafla mapema mwezi wa sita nikapata ajali mbaya sana, niliumia sana nyonga, na ajali hiyo niliipata nikiwa naenda kazini, ilikuwa mbaya sana maana nilifikishwa kitengo cha dharura hospitali ya dharura na baadae nikapelkwa hospitali ya taifa kwa kutazamwa zaidi, kwani niliumia sana njia ya mkojo na ilibidi nifanyiwe opereshen.
.
.
picha linaanza:
1. baada ya kutoa taarifa kazini walikaa kimya ikawa ni zile pole za kishkaji tuu, lkn kuhusu fedha nikawa najigharamia, kikao kikakaa nasikia walibishana sana kwenye kikao hatimae wakachanga laki 3, na ofisi ya mkurugenzi ikatoa laki moja huku mm nikitumia zaidi ya mil 3 kwani bima yangu iliisha muda wake mwaka huo.
.
.
2. wakati nipo hoi hospitali napigiwa simu na makamu mkuu wa kitengo, mwanzo sikutaka mupokea lkn alipiga mara nyingi sana, ikabid nipokee, akawa ananiomba nikiweza nikodi pikipiki hivyo hivyo nifike kazini ili nipate ruhusa niliumia sana kwan muda huo nilikua natoka chumba cha opereshen! lkn nilijikaza tuu nikamwabia nitaangali!
.
.
3.baada ya siku mbili kupita alikuja mkuu wa idara kuja kunitazama, kuthibitisha, doh!! alipofika akanipa fedha zile za watumishi na za mkurugenzi, na kupiga picha, alipofika kazini akatangaza "Kindikinya amepata ajali mbaya sana, hata kama atapona, hata kuwa na uwezo tena wa kuwa na mwanamke" nilipata simu nyingi za pole na wengine kuniambia nisijali nitakuwa sawa, niliachana nao kwani nilihakikishiwa nitakuwa sawa na madaktari!
.
.
miezi miwili baada ya kupita, nilijikaza sana nikarudi kazini, kwakweli nilikuta kila kitu kipo hovyo, ilibidi nijikaze sana kupambana, kurudisha hali sawa, nilijituma sana, hadi kufikia desemba hali ikawa walau!

Sasa yote hayo mwaka huu, repoti baada ya kutoka, idara yangu imeshusha sana utendaji kazi, kwa kunilinganisha na yule mshindani wangu wa pili amenizidi sana!
.
.
picha likaanza nikashushwa idara, pili akaletwa mtu mwingine kushika kitengo kile cha ziada, nimekaa kimya, jana nimeshushwa kabisa na kuwa mtumishi wa kawaida, nilikua kimya tuu sikusema kitu, ila maneno yamekuwa mengi sana, yule mkuu aliekuwa akitangaza siwezi kuwa sawa tena, anatangaza kuwa kama si yeye ningefukuzwa kazi, kwakweli nimeumia sana, lkn hua nakaa kimya sana. kila ukitulia linakuja jipya, ninaumia sana, imefikia hatua mpaka nattaka kuacha kazi nitafute kazi nyingine, lkn changamoto za sasa kidogo kupata kazi sio, ushirikina ni mwingi sana, majungu, kutokupendana ah!!

naombeni ushauri ndugu zangu nifanyaje hapa niwe na amani? asanteni sana
 
Usiondoke hapo. Ukijiengua kila pasipo na amani hata nchini kwako utaondoka maana kote kuna mapichapicha. Shukuru hata una kazi, wengne tunazitafuta hatari.

Wewe ni mwanaume. Jisemeshe kwamba hili nalo litapita. Ni nyakati tu ambazo huwa hazilast muda mrefu. Afu nikupe tip..acha kusikiliza maneno ya watu. Ingia ofisini, fanya kazi, ondoka. Kaa katika nafasi yako vizuri. Afu saiv shukuru umepata ample time ya kufanya mitikasi mingine. Buni mambo kichwani, umiza akili yako ili upate mradi ama biashara ingine (kama huna) ambayo itakuingizia kipato.

Makazini hakunaga true friends kunakuwaga na unafiki sana, hvyo establish boundaries..afu usipende kushiriki katika kuongelea ama kujadili co-worker wenzako. Ukishiriki katika hayo mambedha, na wewe utakua unajadiliwa tu. Maana unakua umepanda mbegu..utavuna matunda yake.

Lakini pia nakuasa..sikulazimishi, sijui wewe ni dini gani ndugu. Katika dini ama imani yako..tafuta kumjua muumba wako. Jizoeze kuishi maisha ya uchaji na ibada. Sisemi uwe addicted kwenye mambo ya Imani..nope, namaanisha seek your Lord because kuna this peace huwa inakuja. Hasa pale unapokumbuka ahadi au neno kutoka katika vitabu vya dini. Kuna namna ufahamu wako utakuwa rejuvinated vizuri mno. Ila kama ulikuwa mchaji, ongeza kiwango chako cha ibada more and more. Panda viwango..kama ulikua hufungi, funga atleast once or twice per week. Kufunga huwa inasaidia sana kushape nafsi zetu..na kutiisha miili yetu.

Maisha sio kwenda staight..hamna iyo. Maisha yana kupanda na kushuka. Accept hapa umeshuka..lakini hiyo ni stepping stone...kuna accelerator unaiendea itakayokulift higher than stage uliyotoka...Stay strong..it shall pass.
Well
 
Pole..usifanye move mpaka uwe na plan B
 
Usiondoke hapo. Ukijiengua kila pasipo na amani hata nchini kwako utaondoka maana kote kuna mapichapicha. Shukuru hata una kazi, wengne tunazitafuta hatari.

upanda na kushuka. Accept hapa umeshuka..lakini hiyo ni stepping stone...kuna accelerator unaiendea itakayokulift higher than stage uliyotoka...Stay strong..it shall pass.
Achukue huu ushauri utamsaidia Sana
 
Usiondoke hapo. Ukijiengua kila pasipo na amani hata nchini kwako utaondoka maana kote kuna mapichapicha. Shukuru hata una kazi, wengne tunazitafuta hatari.

Wewe ni mwanaume. Jisemeshe kwamba hili nalo litapita. Ni nyakati tu ambazo huwa hazilast muda mrefu. Afu nikupe tip..acha kusikiliza maneno ya watu. Ingia ofisini, fanya kazi, ondoka. Kaa katika nafasi yako vizuri. Afu saiv shukuru umepata ample time ya kufanya mitikasi mingine. Buni mambo kichwani, umiza akili yako ili upate mradi ama biashara ingine (kama huna) ambayo itakuingizia kipato.

Makazini hakunaga true friends kunakuwaga na unafiki sana, hvyo establish boundaries..afu usipende kushiriki katika kuongelea ama kujadili co-worker wenzako. Ukishiriki katika hayo mambedha, na wewe utakua unajadiliwa tu. Maana unakua umepanda mbegu..utavuna matunda yake.

Lakini pia nakuasa..sikulazimishi, sijui wewe ni dini gani ndugu. Katika dini ama imani yako..tafuta kumjua muumba wako. Jizoeze kuishi maisha ya uchaji na ibada. Sisemi uwe addicted kwenye mambo ya Imani..nope, namaanisha seek your Lord because kuna this peace huwa inakuja. Hasa pale unapokumbuka ahadi au neno kutoka katika vitabu vya dini. Kuna namna ufahamu wako utakuwa rejuvinated vizuri mno. Ila kama ulikuwa mchaji, ongeza kiwango chako cha ibada more and more. Panda viwango..kama ulikua hufungi, funga atleast once or twice per week. Kufunga huwa inasaidia sana kushape nafsi zetu..na kutiisha miili yetu.

Maisha sio kwenda staight..hamna iyo. Maisha yana kupanda na kushuka. Accept hapa umeshuka..lakini hiyo ni stepping stone...kuna accelerator unaiendea itakayokulift higher than stage uliyotoka...Stay strong..it shall pass.
Mkuu nimekupa like aisee
Umemalizaa
 
Pole sana kwa yote, usiondoke kabla hujapata kazi sehemu nyingine.
 
Assalam wanajamvi? Bila shaka mpo salama na mnaendelea vyema na majukumu!

Bila kupoteza muda niende moja kwa moja kwenye mada, mimi ni mwajiriwa wa taasisi moja binafsi, mwaka jana nilipata changamoto mbaya sana inayonipelekea kukosa amani sana.

Kazini mimi ni mchangamfu sina shida na mtu, na hua mara nyingi nakaa kimya, kwenye kujadili mambo ya watu, January 2022 nilipewa vitengo viwili nivisimamie, kimoja nisimamie mwenyewe kingine nisimamie na mwenzangu, nilikubali kwa mikono miwili lkn baadae mwenzangu akaniambia kwasababu yeye amepangiwa kitengo kizito kidogo anaomba mm nimsaidie tuu, kama kutakuwa na shida atakuwa na mimi!

Nilikubali maana jamaa ni mtu wa maneno mengi na mjuaji sana nikaanza kukomaa!

Kazini kuna mashindano sana ya kampuni mbili za mmiliki huyu (ana kampuni mbili) wanashindana sana uzalishaji, kwa upande wa kampuni ya pili idara yangu aliwekwa jamaa moja ambae alifukuzwa kutoka kwetu na mkuu wetu pale, hivyo alikua mshindani wangu mkubwa japo mimi mwanzo sikujali sana!

Ahafla mapema mwezi wa sita nikapata ajali mbaya sana, niliumia sana nyonga, na ajali hiyo niliipata nikiwa naenda kazini, ilikuwa mbaya sana maana nilifikishwa kitengo cha dharura hospitali ya dharura na baadae nikapelkwa hospitali ya taifa kwa kutazamwa zaidi, kwani niliumia sana njia ya mkojo na ilibidi nifanyiwe opereshen.

Picha linaanza:
1. baada ya kutoa taarifa kazini walikaa kimya ikawa ni zile pole za kishkaji tuu, lkn kuhusu fedha nikawa najigharamia, kikao kikakaa nasikia walibishana sana kwenye kikao hatimae wakachanga laki 3, na ofisi ya mkurugenzi ikatoa laki moja huku mm nikitumia zaidi ya mil 3 kwani bima yangu iliisha muda wake mwaka huo.

2. Wakati nipo hoi hospitali napigiwa simu na makamu mkuu wa kitengo, mwanzo sikutaka mupokea lkn alipiga mara nyingi sana, ikabid nipokee, akawa ananiomba nikiweza nikodi pikipiki hivyo hivyo nifike kazini ili nipate ruhusa niliumia sana kwan muda huo nilikua natoka chumba cha opereshen! lkn nilijikaza tuu nikamwabia nitaangali!

3.Baada ya siku mbili kupita alikuja mkuu wa idara kuja kunitazama, kuthibitisha, doh!! alipofika akanipa fedha zile za watumishi na za mkurugenzi, na kupiga picha, alipofika kazini akatangaza "Kindikinya amepata ajali mbaya sana, hata kama atapona, hata kuwa na uwezo tena wa kuwa na mwanamke" nilipata simu nyingi za pole na wengine kuniambia nisijali nitakuwa sawa, niliachana nao kwani nilihakikishiwa nitakuwa sawa na madaktari!

Miezi miwili baada ya kupita, nilijikaza sana nikarudi kazini, kwakweli nilikuta kila kitu kipo hovyo, ilibidi nijikaze sana kupambana, kurudisha hali sawa, nilijituma sana, hadi kufikia desemba hali ikawa walau!

Sasa yote hayo mwaka huu, repoti baada ya kutoka, idara yangu imeshusha sana utendaji kazi, kwa kunilinganisha na yule mshindani wangu wa pili amenizidi sana!

Picha likaanza nikashushwa idara, pili akaletwa mtu mwingine kushika kitengo kile cha ziada, nimekaa kimya, jana nimeshushwa kabisa na kuwa mtumishi wa kawaida, nilikua kimya tuu sikusema kitu, ila maneno yamekuwa mengi sana, yule mkuu aliekuwa akitangaza siwezi kuwa sawa tena, anatangaza kuwa kama si yeye ningefukuzwa kazi, kwakweli nimeumia sana, lkn hua nakaa kimya sana. kila ukitulia linakuja jipya, ninaumia sana, imefikia hatua mpaka nattaka kuacha kazi nitafute kazi nyingine, lkn changamoto za sasa kidogo kupata kazi sio, ushirikina ni mwingi sana, majungu, kutokupendana ah!!

Naombeni ushauri ndugu zangu nifanyaje hapa niwe na amani? asanteni sana
Kwanza pole sanaaa,na utakuwa sawa kwa uweza wa Mungu.
Adui akimbiwi,fanya maombi ya nguvu sana afu Kama we n mkristo Kila ukisali mda wowote au ukijiona mpweke una maumivu sali zaburi hii ya 35 kwa imani utajibiwa.Kuwa msiri sana na mambo yko usiwape nafasi wajue taarifa zako.
 
kindikinyer leborosier naomba nikukumbushie hii thread. Izidi kukukaza braza.
Screenshot_20230119-131609.jpg
 
Assalam wanajamvi? Bila shaka mpo salama na mnaendelea vyema na majukumu!

Bila kupoteza muda niende moja kwa moja kwenye mada, mimi ni mwajiriwa wa taasisi moja binafsi, mwaka jana nilipata changamoto mbaya sana inayonipelekea kukosa amani sana.

Kazini mimi ni mchangamfu sina shida na mtu, na hua mara nyingi nakaa kimya, kwenye kujadili mambo ya watu, January 2022 nilipewa vitengo viwili nivisimamie, kimoja nisimamie mwenyewe kingine nisimamie na mwenzangu, nilikubali kwa mikono miwili lkn baadae mwenzangu akaniambia kwasababu yeye amepangiwa kitengo kizito kidogo anaomba mm nimsaidie tuu, kama kutakuwa na shida atakuwa na mimi!

Nilikubali maana jamaa ni mtu wa maneno mengi na mjuaji sana nikaanza kukomaa!

Kazini kuna mashindano sana ya kampuni mbili za mmiliki huyu (ana kampuni mbili) wanashindana sana uzalishaji, kwa upande wa kampuni ya pili idara yangu aliwekwa jamaa moja ambae alifukuzwa kutoka kwetu na mkuu wetu pale, hivyo alikua mshindani wangu mkubwa japo mimi mwanzo sikujali sana!

Ahafla mapema mwezi wa sita nikapata ajali mbaya sana, niliumia sana nyonga, na ajali hiyo niliipata nikiwa naenda kazini, ilikuwa mbaya sana maana nilifikishwa kitengo cha dharura hospitali ya dharura na baadae nikapelkwa hospitali ya taifa kwa kutazamwa zaidi, kwani niliumia sana njia ya mkojo na ilibidi nifanyiwe opereshen.

Picha linaanza:
1. baada ya kutoa taarifa kazini walikaa kimya ikawa ni zile pole za kishkaji tuu, lkn kuhusu fedha nikawa najigharamia, kikao kikakaa nasikia walibishana sana kwenye kikao hatimae wakachanga laki 3, na ofisi ya mkurugenzi ikatoa laki moja huku mm nikitumia zaidi ya mil 3 kwani bima yangu iliisha muda wake mwaka huo.

2. Wakati nipo hoi hospitali napigiwa simu na makamu mkuu wa kitengo, mwanzo sikutaka mupokea lkn alipiga mara nyingi sana, ikabid nipokee, akawa ananiomba nikiweza nikodi pikipiki hivyo hivyo nifike kazini ili nipate ruhusa niliumia sana kwan muda huo nilikua natoka chumba cha opereshen! lkn nilijikaza tuu nikamwabia nitaangali!

3.Baada ya siku mbili kupita alikuja mkuu wa idara kuja kunitazama, kuthibitisha, doh!! alipofika akanipa fedha zile za watumishi na za mkurugenzi, na kupiga picha, alipofika kazini akatangaza "Kindikinya amepata ajali mbaya sana, hata kama atapona, hata kuwa na uwezo tena wa kuwa na mwanamke" nilipata simu nyingi za pole na wengine kuniambia nisijali nitakuwa sawa, niliachana nao kwani nilihakikishiwa nitakuwa sawa na madaktari!

Miezi miwili baada ya kupita, nilijikaza sana nikarudi kazini, kwakweli nilikuta kila kitu kipo hovyo, ilibidi nijikaze sana kupambana, kurudisha hali sawa, nilijituma sana, hadi kufikia desemba hali ikawa walau!

Sasa yote hayo mwaka huu, repoti baada ya kutoka, idara yangu imeshusha sana utendaji kazi, kwa kunilinganisha na yule mshindani wangu wa pili amenizidi sana!

Picha likaanza nikashushwa idara, pili akaletwa mtu mwingine kushika kitengo kile cha ziada, nimekaa kimya, jana nimeshushwa kabisa na kuwa mtumishi wa kawaida, nilikua kimya tuu sikusema kitu, ila maneno yamekuwa mengi sana, yule mkuu aliekuwa akitangaza siwezi kuwa sawa tena, anatangaza kuwa kama si yeye ningefukuzwa kazi, kwakweli nimeumia sana, lkn hua nakaa kimya sana. kila ukitulia linakuja jipya, ninaumia sana, imefikia hatua mpaka nattaka kuacha kazi nitafute kazi nyingine, lkn changamoto za sasa kidogo kupata kazi sio, ushirikina ni mwingi sana, majungu, kutokupendana ah!!

Naombeni ushauri ndugu zangu nifanyaje hapa niwe na amani? asanteni sana
Usiache kazi!!
 
Pole kwa ajali ndugu yangu, lakini kuhusu changamoto za kazini kwako ni kawaida na zivumilie na anachokisema huyo mkuu wa idara ukute ni kweli bila yeye ungefukuzwa so shukuru endelea kupiga kazi unaweza rudi juu tena ila ukijicjanganya kuacha kazi eti kisa hakuna amani sio rahisi kupata tena kazi na hata ukipata hayo mazingira ya amani yanaweza yakafanana tu kati ya hapo na unapopataka kwaiyo piga kazi you'll bounce.
 
Assalam wanajamvi? Bila shaka mpo salama na mnaendelea vyema na majukumu!

Bila kupoteza muda niende moja kwa moja kwenye mada, mimi ni mwajiriwa wa taasisi moja binafsi, mwaka jana nilipata changamoto mbaya sana inayonipelekea kukosa amani sana.

Kazini mimi ni mchangamfu sina shida na mtu, na hua mara nyingi nakaa kimya, kwenye kujadili mambo ya watu, January 2022 nilipewa vitengo viwili nivisimamie, kimoja nisimamie mwenyewe kingine nisimamie na mwenzangu, nilikubali kwa mikono miwili lkn baadae mwenzangu akaniambia kwasababu yeye amepangiwa kitengo kizito kidogo anaomba mm nimsaidie tuu, kama kutakuwa na shida atakuwa na mimi!

Nilikubali maana jamaa ni mtu wa maneno mengi na mjuaji sana nikaanza kukomaa!

Kazini kuna mashindano sana ya kampuni mbili za mmiliki huyu (ana kampuni mbili) wanashindana sana uzalishaji, kwa upande wa kampuni ya pili idara yangu aliwekwa jamaa moja ambae alifukuzwa kutoka kwetu na mkuu wetu pale, hivyo alikua mshindani wangu mkubwa japo mimi mwanzo sikujali sana!

Ahafla mapema mwezi wa sita nikapata ajali mbaya sana, niliumia sana nyonga, na ajali hiyo niliipata nikiwa naenda kazini, ilikuwa mbaya sana maana nilifikishwa kitengo cha dharura hospitali ya dharura na baadae nikapelkwa hospitali ya taifa kwa kutazamwa zaidi, kwani niliumia sana njia ya mkojo na ilibidi nifanyiwe opereshen.

Picha linaanza:
1. baada ya kutoa taarifa kazini walikaa kimya ikawa ni zile pole za kishkaji tuu, lkn kuhusu fedha nikawa najigharamia, kikao kikakaa nasikia walibishana sana kwenye kikao hatimae wakachanga laki 3, na ofisi ya mkurugenzi ikatoa laki moja huku mm nikitumia zaidi ya mil 3 kwani bima yangu iliisha muda wake mwaka huo.

2. Wakati nipo hoi hospitali napigiwa simu na makamu mkuu wa kitengo, mwanzo sikutaka mupokea lkn alipiga mara nyingi sana, ikabid nipokee, akawa ananiomba nikiweza nikodi pikipiki hivyo hivyo nifike kazini ili nipate ruhusa niliumia sana kwan muda huo nilikua natoka chumba cha opereshen! lkn nilijikaza tuu nikamwabia nitaangali!

3.Baada ya siku mbili kupita alikuja mkuu wa idara kuja kunitazama, kuthibitisha, doh!! alipofika akanipa fedha zile za watumishi na za mkurugenzi, na kupiga picha, alipofika kazini akatangaza "Kindikinya amepata ajali mbaya sana, hata kama atapona, hata kuwa na uwezo tena wa kuwa na mwanamke" nilipata simu nyingi za pole na wengine kuniambia nisijali nitakuwa sawa, niliachana nao kwani nilihakikishiwa nitakuwa sawa na madaktari!

Miezi miwili baada ya kupita, nilijikaza sana nikarudi kazini, kwakweli nilikuta kila kitu kipo hovyo, ilibidi nijikaze sana kupambana, kurudisha hali sawa, nilijituma sana, hadi kufikia desemba hali ikawa walau!

Sasa yote hayo mwaka huu, repoti baada ya kutoka, idara yangu imeshusha sana utendaji kazi, kwa kunilinganisha na yule mshindani wangu wa pili amenizidi sana!

Picha likaanza nikashushwa idara, pili akaletwa mtu mwingine kushika kitengo kile cha ziada, nimekaa kimya, jana nimeshushwa kabisa na kuwa mtumishi wa kawaida, nilikua kimya tuu sikusema kitu, ila maneno yamekuwa mengi sana, yule mkuu aliekuwa akitangaza siwezi kuwa sawa tena, anatangaza kuwa kama si yeye ningefukuzwa kazi, kwakweli nimeumia sana, lkn hua nakaa kimya sana. kila ukitulia linakuja jipya, ninaumia sana, imefikia hatua mpaka nattaka kuacha kazi nitafute kazi nyingine, lkn changamoto za sasa kidogo kupata kazi sio, ushirikina ni mwingi sana, majungu, kutokupendana ah!!

Naombeni ushauri ndugu zangu nifanyaje hapa niwe na amani? asanteni sana
Kwanza pole sana kwa yaliyokupata, naandika kwa herufi kubwa "USIACHE KAZI" pasipo kupata kazi sehemu nyingine. Pia tambua kila penye riziki mambo ya majungu hayokosekani.
Habari yako imenigusa sana, kwani nami napitia changamoto hizo hizo mpaka muda huu nipo kitandani. Nilipata ajali ya gari nikavunjika nyonga ikabidi nifanyiwe upasuaji wa kubadilishwa nyonga. Tatizo linakuja ninayoyasikia yanayoendelea huko kazini yanaumiza sana.
 
Mkuu pole sana ila kabla ya kuacha kazi endelea kutafta kazi ukiwa hapo hapo. Ukipata kazi aga vizur ondoka . Mimi nilisha fanyiwa figisu na jamaa kwenye idara ila nikavumulia na nikatafta kazi nikapata kampuni kubwa zaidi.

Kwenye ile kampuni baada ya miez 9 nikapewa idara ya kusimamia na mwaka mmoja badae mmoja wa walionifanyia figisu alikuja kwenye interview akanikuta kwenye panel. Haya maisha usilipe kisasi mwachie Mungu atapambana nao. Wanafki makazini wanaishiaga papaya sana
 
Kwanza kabisa pole na hali uliyo nayo, cha pili mkuu usije ukajaribu kuacha kazi wakati hujapata kazi nyingine, kama unaona hapo kero zimezidi tafuta kazi kimya kimya huku ukiendelea kukomaa hapo kwa mudaa. Ila usiache kazi kwa kusudi la kuanza kutafuta kwingine!
 
Ukisikia mitihani ya maisha ndo kama hiyo sasa,kila mtu anapitia wake wa kwako ndio huo
Dawa ya mtihani ni kukaa na kuusolve na sio kuukimbia mana mwisho wa mtihani watu hupata matokeo!
Baki hapo uumalize huo mtihani huku unatafuta kazi kwingine,ukipata kwingine wakati huko hapo then utajua kuwa majibu ndo hayo na ukikosa pengine utajikuta umeshazoea hiyo hali na umeona kawaida hence utapata amani!
Ila usiache hiyo kazi kwanza,utajiongezea mtihani wa pili wakati wa kwanza hujausolve bado!
 
Assalam wanajamvi? Bila shaka mpo salama na mnaendelea vyema na majukumu!

Bila kupoteza muda niende moja kwa moja kwenye mada, mimi ni mwajiriwa wa taasisi moja binafsi, mwaka jana nilipata changamoto mbaya sana inayonipelekea kukosa amani sana.

Kazini mimi ni mchangamfu sina shida na mtu, na hua mara nyingi nakaa kimya, kwenye kujadili mambo ya watu, January 2022 nilipewa vitengo viwili nivisimamie, kimoja nisimamie mwenyewe kingine nisimamie na mwenzangu, nilikubali kwa mikono miwili lkn baadae mwenzangu akaniambia kwasababu yeye amepangiwa kitengo kizito kidogo anaomba mm nimsaidie tuu, kama kutakuwa na shida atakuwa na mimi!

Nilikubali maana jamaa ni mtu wa maneno mengi na mjuaji sana nikaanza kukomaa!

Kazini kuna mashindano sana ya kampuni mbili za mmiliki huyu (ana kampuni mbili) wanashindana sana uzalishaji, kwa upande wa kampuni ya pili idara yangu aliwekwa jamaa moja ambae alifukuzwa kutoka kwetu na mkuu wetu pale, hivyo alikua mshindani wangu mkubwa japo mimi mwanzo sikujali sana!

Ahafla mapema mwezi wa sita nikapata ajali mbaya sana, niliumia sana nyonga, na ajali hiyo niliipata nikiwa naenda kazini, ilikuwa mbaya sana maana nilifikishwa kitengo cha dharura hospitali ya dharura na baadae nikapelkwa hospitali ya taifa kwa kutazamwa zaidi, kwani niliumia sana njia ya mkojo na ilibidi nifanyiwe opereshen.

Picha linaanza:
1. baada ya kutoa taarifa kazini walikaa kimya ikawa ni zile pole za kishkaji tuu, lkn kuhusu fedha nikawa najigharamia, kikao kikakaa nasikia walibishana sana kwenye kikao hatimae wakachanga laki 3, na ofisi ya mkurugenzi ikatoa laki moja huku mm nikitumia zaidi ya mil 3 kwani bima yangu iliisha muda wake mwaka huo.

2. Wakati nipo hoi hospitali napigiwa simu na makamu mkuu wa kitengo, mwanzo sikutaka mupokea lkn alipiga mara nyingi sana, ikabid nipokee, akawa ananiomba nikiweza nikodi pikipiki hivyo hivyo nifike kazini ili nipate ruhusa niliumia sana kwan muda huo nilikua natoka chumba cha opereshen! lkn nilijikaza tuu nikamwabia nitaangali!

3.Baada ya siku mbili kupita alikuja mkuu wa idara kuja kunitazama, kuthibitisha, doh!! alipofika akanipa fedha zile za watumishi na za mkurugenzi, na kupiga picha, alipofika kazini akatangaza "Kindikinya amepata ajali mbaya sana, hata kama atapona, hata kuwa na uwezo tena wa kuwa na mwanamke" nilipata simu nyingi za pole na wengine kuniambia nisijali nitakuwa sawa, niliachana nao kwani nilihakikishiwa nitakuwa sawa na madaktari!

Miezi miwili baada ya kupita, nilijikaza sana nikarudi kazini, kwakweli nilikuta kila kitu kipo hovyo, ilibidi nijikaze sana kupambana, kurudisha hali sawa, nilijituma sana, hadi kufikia desemba hali ikawa walau!

Sasa yote hayo mwaka huu, repoti baada ya kutoka, idara yangu imeshusha sana utendaji kazi, kwa kunilinganisha na yule mshindani wangu wa pili amenizidi sana!

Picha likaanza nikashushwa idara, pili akaletwa mtu mwingine kushika kitengo kile cha ziada, nimekaa kimya, jana nimeshushwa kabisa na kuwa mtumishi wa kawaida, nilikua kimya tuu sikusema kitu, ila maneno yamekuwa mengi sana, yule mkuu aliekuwa akitangaza siwezi kuwa sawa tena, anatangaza kuwa kama si yeye ningefukuzwa kazi, kwakweli nimeumia sana, lkn hua nakaa kimya sana. kila ukitulia linakuja jipya, ninaumia sana, imefikia hatua mpaka nattaka kuacha kazi nitafute kazi nyingine, lkn changamoto za sasa kidogo kupata kazi sio, ushirikina ni mwingi sana, majungu, kutokupendana ah!!

Naombeni ushauri ndugu zangu nifanyaje hapa niwe na amani? asanteni sana

Endelea kuwa na Utulivu.

Usiendeshwe na mitazamo ya Watu au maneno ya Watu.
Kubali na kabili kila hali inayotokea katika Maisha yako

Pole Sana Mkuu
 
Back
Top Bottom