Msaada: Nikigusa maji kila mara miguu inachanika nakuwa na machacha

Msaada: Nikigusa maji kila mara miguu inachanika nakuwa na machacha

Msumb

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2022
Posts
3,452
Reaction score
5,372
Habari wadau kwema, shida yangu ipo hivi, nipo Nyumbani mara nyingi na kuna shughuli huwa nafanya kama kusafisha vyombo pamoja na kufua.

Ila shida maji yakiingia kwenye vidole na uyayoni basi shida miguu inapasuka sana,

Muda mwingine vidonda vinatokea kwenye vidole, ila nikiwa mkavu miguuni hakuna shida, nisaidie nitumie nini miguu irudi kama zamani🙏😞
 
Back
Top Bottom