Msaada: Nikiweka TBC 1 Mwanangu analia sana

Babu Kijiwe

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2010
Posts
4,830
Reaction score
4,729
Habari wanabodi, naombeni mnishauri chakufanya maana nikiweka TBC 1 mwanangu analia sana, nikibadili channel anacheka... Mbaya zaidi hata tukiwa sehemu nyingine nje ya nyumbani akikuta wame tune TBC 1 analia huku ananyoosha mkono kuelekea kwenye TV mpaka mbadilishe channel. Dogo ana miaka 2 kasoro miezi 3.
Nashindwa kuangalia kipindi cha maswali na majibu nifanyeje?
 
Huyo mtoto hana baba hapo, kweli wewe umefikia kuwa na mtoto unaweka uzi kama huu??
 
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Na histoshe anakuporomoshea matusi sema ww hujui tu[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…