[emoji15] [emoji15] [emoji15] jeiMkuu vipi wakati huo hapo kwenye screen kunakuwa na picha ya kiongozi gani labda huenda ndio chanzo[emoji86] [emoji86]
Aaaaah!! Huyo dawa yake ndogo sana....hebu muwekee pornogragh then ckilizia.......Habari wanabodi, naombeni mnishauri chakufanya maana nikiweka TBC 1 mwanangu analia sana, nikibadili channel anacheka... Mbaya zaidi hata tukiwa sehemu nyingine nje ya nyumbani akikuta wame tune TBC 1 analia huku ananyoosha mkono kuelekea kwenye TV mpaka mbadilishe channel. Dogo ana miaka 2 kasoro miezi 3.
Nashindwa kuangalia kipindi cha maswali na majibu nifanyeje?
Ha ha ha mbavu zangu..ni sawa na kuangalia kikao cha wachawi
Dah! Wewe nae ni Baba? Namhurumia huyo mtoto na ustawi wa maisha yake ya baadae. Binadamu kama wewe mngekuwa mnahasiwa tu...kwa sababu hauna vigezo kwa kuwa Mzazi bora kwa kiumbe unachokileta Duniani.Habari wanabodi, naombeni mnishauri chakufanya maana nikiweka TBC 1 mwanangu analia sana, nikibadili channel anacheka... Mbaya zaidi hata tukiwa sehemu nyingine nje ya nyumbani akikuta wame tune TBC 1 analia huku ananyoosha mkono kuelekea kwenye TV mpaka mbadilishe channel. Dogo ana miaka 2 kasoro miezi 3.
Nashindwa kuangalia kipindi cha maswali na majibu nifanyeje?
Hahahaaa kisa hataki kuangalia TBC?Dah! Wewe nae ni Baba? Namhurumia huyo mtoto na ustawi wa maisha yake ya baadae. Binadamu kama wewe mngekuwa mnahasiwa tu...kwa sababu hauna vigezo kwa kuwa Mzazi bora kwa kiumbe unachokileta Duniani.
Unaleta kiumbe duniani ambacho kitakuwa mzigo katika jamii. Kwa post yako nina hakika utashindwa kumpa huyo mtoto elimu na?maisha bora. Ataishia mtaani na kusumbua jamii.
Sitaki kumpotoshaAaaaah!! Huyo dawa yake ndogo sana....hebu muwekee pornogragh then ckilizia.......
Hahahaaahuyo mtoto ana akili za kina Robert Eistein maana hili gwiji la physics alipokua na umri wa miaka mitatu tuu alikua anasema sema peke ake wazazi wa Eistein walimpeleka hosptali kupata ushauri wakaambiwa Mzima huyu..huyo dogo ni kichwa sana...
Nilisha jaribu kuweka kipindi cha Ubongo kids lakini analia tu sasa cjui tatizo ni ile logo ya tbc au ninini?mkuu hii ya Leo kalii mbona .....
wazungu mtoto kama huyoo washajua kipaji chake au dalili za ujiniasii,
Au jaribu kutafuta kipindi cha katuni kama kipo hapo TBC tuone itakuwajee
Kivipi mkuuAtakuwa anaisoma number
we ulikua shangaz yake sio??huyo mtoto ana akili za kina Robert Eistein maana hili gwiji la physics alipokua na umri wa miaka mitatu tuu alikua anasema sema peke ake wazazi wa Eistein walimpeleka hosptali kupata ushauri wakaambiwa Mzima huyu..huyo dogo ni kichwa sana...
Naona umejiunga na kutukana kuwa na busara japo kidogo na hakuna mtu asiejua kutukana ni busara na mazingira uliyokulia na kuishi ndio unaweza kumtukana kila mtu sisi wenzio Veterani katika maisha kutukana ni mwiko ingawaje maeneo tulikua ni matata sana..we ulikua shangaz yake sio??
Naona umejiunga na kutukana kuwa na busara japo kidogo na hakuna mtu asiejua kutukana ni busara na mazingira uliyokulia na kuishi ndio unaweza kumtukana kila mtu sisi wenzio Veterani katika maisha kutukana ni mwiko ingawaje maeneo tulikua ni matata sana..we ulikua shangaz yake sio??