Msaada: Nikiweka TBC 1 Mwanangu analia sana

Atakuwa na mapepo sio bure!

Mpeleke akaombewe mapepo yamtoke!

Moja ya dalili ya mapepo ni kulia lia ovyo kwasababu za kijinga kama hiyo!
 
huyo mtoto ana akili za kina Robert Eistein maana hili gwiji la physics alipokua na umri wa miaka mitatu tuu alikua anasema sema peke ake wazazi wa Eistein walimpeleka hosptali kupata ushauri wakaambiwa Mzima huyu..huyo dogo ni kichwa sana...
 
Habari wanabodi, naombeni mnishauri chakufanya maana nikiweka TBC 1 mwanangu analia sana, nikibadili channel anacheka... Mbaya zaidi hata tukiwa sehemu nyingine nje ya nyumbani akikuta wame tune TBC 1 analia huku ananyoosha mkono kuelekea kwenye TV mpaka mbadilishe channel. Dogo ana miaka 2 kasoro miezi 3.
Nashindwa kuangalia kipindi cha maswali na majibu nifanyeje?
Aaaaah!! Huyo dawa yake ndogo sana....hebu muwekee pornogragh then ckilizia.......
 
Habari wanabodi, naombeni mnishauri chakufanya maana nikiweka TBC 1 mwanangu analia sana, nikibadili channel anacheka... Mbaya zaidi hata tukiwa sehemu nyingine nje ya nyumbani akikuta wame tune TBC 1 analia huku ananyoosha mkono kuelekea kwenye TV mpaka mbadilishe channel. Dogo ana miaka 2 kasoro miezi 3.
Nashindwa kuangalia kipindi cha maswali na majibu nifanyeje?
Dah! Wewe nae ni Baba? Namhurumia huyo mtoto na ustawi wa maisha yake ya baadae. Binadamu kama wewe mngekuwa mnahasiwa tu...kwa sababu hauna vigezo kwa kuwa Mzazi bora kwa kiumbe unachokileta Duniani.

Unaleta kiumbe duniani ambacho kitakuwa mzigo katika jamii. Kwa post yako nina hakika utashindwa kumpa huyo mtoto elimu na?maisha bora. Ataishia mtaani na kusumbua jamii.
 
Hahahaaa kisa hataki kuangalia TBC?

Sent from my TECNO H6 using JamiiForums mobile app
 
huyo mtoto ana akili za kina Robert Eistein maana hili gwiji la physics alipokua na umri wa miaka mitatu tuu alikua anasema sema peke ake wazazi wa Eistein walimpeleka hosptali kupata ushauri wakaambiwa Mzima huyu..huyo dogo ni kichwa sana...
Hahahaaa
 
mkuu hii ya Leo kalii mbona .....

wazungu mtoto kama huyoo washajua kipaji chake au dalili za ujiniasii,

Au jaribu kutafuta kipindi cha katuni kama kipo hapo TBC tuone itakuwajee
Nilisha jaribu kuweka kipindi cha Ubongo kids lakini analia tu sasa cjui tatizo ni ile logo ya tbc au ninini?
 
huyo mtoto ana akili za kina Robert Eistein maana hili gwiji la physics alipokua na umri wa miaka mitatu tuu alikua anasema sema peke ake wazazi wa Eistein walimpeleka hosptali kupata ushauri wakaambiwa Mzima huyu..huyo dogo ni kichwa sana...
we ulikua shangaz yake sio??
 
we ulikua shangaz yake sio??
Naona umejiunga na kutukana kuwa na busara japo kidogo na hakuna mtu asiejua kutukana ni busara na mazingira uliyokulia na kuishi ndio unaweza kumtukana kila mtu sisi wenzio Veterani katika maisha kutukana ni mwiko ingawaje maeneo tulikua ni matata sana..
 
Back
Top Bottom