Isanga family
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 17,080
- 33,076
Naona umejiunga na kutukana kuwa na busara japo kidogo na hakuna mtu asiejua kutukana ni busara na mazingira uliyokulia na kuishi ndio unaweza kumtukana kila mtu sisi wenzio Veterani katika maisha kutukana ni mwiko ingawaje maeneo tulikua ni matata sana..we ulikua shangaz yake sio??
Acha kumlisha mtoto chuki, kwenye ukubwa wake hao wanaouliza hobby hawatokuwepo!!Habari wanabodi, naombeni mnishauri chakufanya maana nikiweka TBC 1 mwanangu analia sana, nikibadili channel anacheka... Mbaya zaidi hata tukiwa sehemu nyingine nje ya nyumbani akikuta wame tune TBC 1 analia huku ananyoosha mkono kuelekea kwenye TV mpaka mbadilishe channel. Dogo ana miaka 2 kasoro miezi 3.
Nashindwa kuangalia kipindi cha maswali na majibu nifanyeje?
[emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57]Mwekee tom and jerry atacheka
Embu jaribu kumuwekea xxx video uone, akicheka basi ujue tuu huyo ni tatixo, ukimaliza hapo embu jirekodi video hafu muwekee akilia basi kacheki DNA[emoji23] [emoji23] [emoji23]Habari wanabodi, naombeni mnishauri chakufanya maana nikiweka TBC 1 mwanangu analia sana, nikibadili channel anacheka... Mbaya zaidi hata tukiwa sehemu nyingine nje ya nyumbani akikuta wame tune TBC 1 analia huku ananyoosha mkono kuelekea kwenye TV mpaka mbadilishe channel. Dogo ana miaka 2 kasoro miezi 3.
Nashindwa kuangalia kipindi cha maswali na majibu nifanyeje?
Amezoea tv za picha zile za vichupi muwekee huko aanhalie nusu uchi atanyamaza tu maana ndiyo zenu.Habari wanabodi, naombeni mnishauri chakufanya maana nikiweka TBC 1 mwanangu analia sana, nikibadili channel anacheka... Mbaya zaidi hata tukiwa sehemu nyingine nje ya nyumbani akikuta wame tune TBC 1 analia huku ananyoosha mkono kuelekea kwenye TV mpaka mbadilishe channel. Dogo ana miaka 2 kasoro miezi 3.
Nashindwa kuangalia kipindi cha maswali na majibu nifanyeje?