Msaada: Nilipata ajali mkono wa kulia haufanyi kazi japo nafeel

Msaada: Nilipata ajali mkono wa kulia haufanyi kazi japo nafeel

asante mkuu, naomba Mungu nirudi kuwa sawa, mazoezi nafanyiwa isipokua huu mkono wa kulia haufanyi chochote hata vidole havifanyi kitu, hivo ni kazi sana, imagine naogeshwa cas cwezi jiogesha, dah is painful kiukweli, nipone tu
Pole sana, I can feel you!

Mwenyezi Mungu akupambanie uweze kurudi kwenye hali yako ya kawaida.
 
Report ikoje, na wamekushauri vipi ?
nimeupdate hapo juu mkuu, report ni mishipa ya fahamu ya mkono ibqyofika kichwan ndo inashida accordinfmg to MRI report, so dr wanakuja sio nda watuambie wameamua aje, if ni operation wafanye au wafanye nini, hooe tapona, vyovyote tu wakiamua ni sawa ilimradi nipone
 
Report ikoje, na wamekushauri vipi ?
Kwanini husomi habari kamili uelewe kwanza ndipo utoe ushauri?

MRI imesema kuna mifupa kwenye shingo yake imeibana misuli ya mkono wa kulia na kupelekea mishipa hiyo isipokee wala kupeleka taarifa zozote kwenye ubongo, yani maji, damu na hewa (blood circulation) haifanyi kazi inavyotakiwa.



Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Pole Mkuu,
Kama ulivunjika basi jua utachukua muda sana kuanza kufunction.
Kwa uzoefu wangu,ukitoa Ile POP yaani unaanza upya kabisa kuufanyisha kazi.
Sometimes unakuta hata pen huwezi kushika..ni normal.
Baada ya miezi kadhaa kupita utaanza taratibu kuinua vitu vyepesi.

Kikubwa ufanye mazoezi.
Hata ukiahika jag tupu likadondoka,wewe shika tena na tena,usiache.
 
Kwanini mna husomi habari kamili uelewe kwanza ndipo utoe ushauri?

MRI imesema kuna mifupa kwenye shingo yake imeibana misuli ya mkono wa kulia na kupelekea mishipa hiyo isipate wala kupeleka taarifa zozote kwenye ubongo, yani maji, damu na hewa (blood circulation) haifanyi kazi inavyotakiwa.



Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Alikuwa hajaandika, apo amefanya update baada ya kumuuliza.

Umekurupuka
 
Back
Top Bottom