Msaada: Nimefikia hatua ya kunywa Pepsi 4 kwa siku, nifanyeje kuacha?

Ongezea na sigara
 
Hicho kinaweza kuwa kiashiria cha tatizo,check na mtoa huduma ya afya kwa ushauri na vipimo.
 
Pepsi na coca Zina kilevi cafein,kinasababisha adiction inabamba kama kahawa Anza kuacha taratibu usijepata kisukari
 
Wewe ni mzalendo halisi. Kila pepsi moja unayokunywa unachangia pesa nyingi katika mfuko wa taifa. Watoto wetu wanatibiwa. Barabara zinajengwa. Ukinywa sita itakuwa bora zaidi.
 
Ngoja siku uumwe kipepsi Pepsi upelekwe muhimbili walayhi janabi atakufinya makalioni mpaka uone muhimbili chungu
Kisha tuambia halafu ukija Mihimbili ... Katuelekeza mambo mengi tunamsikiliza tuna mwachia, anatusubiri
 
Hamia kwenye maji unapopata kiu.
 
Watu tunatofautiana! Sijawahi kuielewa Pepsi na Coca.
Mimi soda zangu ni 7up, Sprite japo niliacha soda miaka 2 iliyopita.
Hapana hapana,huninyweshi hizo soda aisee🤣🤣
 
Endelea kunywa sana ongeza ziwe 8 kwa siku
 
Tunasema kitaalamu upo Njiapanda tukikuacha utapotea....La msingi ni moja anza kuweka nia ya kuacha viwawishi vya aina yoyote vinakupelekea ww kuzidisha uraibu wa Pepsi mfano nyumbani ondoa kabisa vinywaji vya pepsi kwa mda fulani tabia ni kama mbegu ukiweka nia vzr utafanikiwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…