Msaada: Nimefikia hatua ya kunywa Pepsi 4 kwa siku, nifanyeje kuacha?

Ikiwa ya baridi na hili jua si unaelewa lakini?😅
Mimi namshukuru Mungu ki ukweli nimeweza....naweza maliza hata wiki sijanywa soda..Maajabu sasa nikija kuinywa chupa simalizi...

Sasa hivi nimekuwa addicted na chai jamani...Nazeeka🤣
Umejitahidi shem, jua hili na pepsi ya bariiid, utam wake ni hatari.

Ila kwa sisi wengine inabidi tu kujitahidi manake umri wa sukari unakuja asee...

Hata mimi nimehamia kwa chai sasa, usiseme unazeeka maana najua bado, unanizeesha mimi ukisema hivyo🤣
 
Tujipongeze tu Shem...
Unaelewa haikuwa rahisi Mzee mwenzangu😅
 
Habarini za mchana,

Wakuu mimi huwa situmii pombe, ni juice na soda tu na soda yangu pendwa ni Pepsi.

Kila siku huwa nakunywa Pepsi tena napenda ikiwa baridi sana. Nilianza kunywa moja kwa siku, ikaja mbili ikaja 3 now nakunywa nne kwa siku; mbili mchana na mbili usiku. Hizo mbili nakunywa kwa mpigo.

Nifanyeje ili kuacha? Pia Mimi sio mpenz wa chai asubuhi, niko radhi nile vitafunwa vikavu au na maji au soda, na usiku siwezi kulala bila kunywa maji baridi-huwa nalala na jug la maji pembeni.

Nikinywa maji baridi akili huwa inarelax, nalala kwa haraka tofaut na nisipokunywa maji. Nifanyeje?
Kwanini unataka kuacha?
 
Addiction....
😪😪😪😪
Masikitiko
 
Ikiwa ya baridi na hili jua si unaelewa lakini?😅
Mimi namshukuru Mungu ki ukweli nimeweza....naweza maliza hata wiki sijanywa soda..Maajabu sasa nikija kuinywa chupa simalizi...

Sasa hivi nimekuwa addicted na chai jamani...Nazeeka🤣
Mimi chai sio mpenz kabisa
 
Ushauri acha kabisa, kuna jamaa yangu alikuwa kama wewe kila siku pepsi 4, asbh 1 mchana 2 usiku 1 leo hii anasumbuka na kisukari acha kabisa ulizaliwa nayo hayo? acha kabisa kama unajipenda
Sawa mkuuu nitaachaaa mwaka mzima huu 2025
 
Tafuta mtaalamu apime kuwa Pepsi moja ina sukari kiasi gani ili ujue kwa siku unaingiza kiwango gani cha sukari mwilini. Kuna siku nilifanya zoezi ila ni coka cola, nilimwagia koka kwenye sinki chafu sana la chooni, kesho yaki nilikuta uchafu wote umelainika na kuosha kwa uraisi. Najiuliza hiyo formula ya kutengeneza koka ikoje?
 
Kama unasema ukweli .unahatari sana unayojitengenezea.Au unabeba zege?
 
Back
Top Bottom