Msaada: Nimefikia hatua ya kunywa Pepsi 4 kwa siku, nifanyeje kuacha?

Habarini za mchana,

Wakuu mimi huwa situmii pombe, ni juice na soda tu na soda yangu pendwa ni Pepsi.

Kila siku huwa nakunywa Pepsi tena napenda ikiwa baridi sana. Nilianza kunywa moja kwa siku, ikaja mbili ikaja 3 now nakunywa nne kwa siku; mbili mchana na mbili usiku. Hizo mbili nakunywa kwa mpigo.

Nifanyeje ili kuacha? Pia Mimi sio mpenz wa chai asubuhi, niko radhi nile vitafunwa vikavu au na maji au soda, na usiku siwezi kulala bila kunywa maji baridi-huwa nalala na jug la maji pembeni.

Nikinywa maji baridi akili huwa inarelax, nalala kwa haraka tofaut na nisipokunywa maji. Nifanyeje?
Sio bzuri kwa afya, pepsi ina sukari mno, atleast 1 au 2
 
Kunywa Coca.
 
Pole sana maana nakumbuka kipind nilianza kunywa mo extra moja kwa wiki. Ikaja had moja kwa siku na ikafika hadi haitakiw usiku ipite bila kunya chupa moja ya mo extra na biscuit na karanga robo kila siku. Ikafika had naoa nkaacha kula karanga na izo biscuit ila nkaongeza idadi ya mo extra. Mpaka siku iishe mekunywa tatu. Ikaniathir kiasi kwamba hata kama sijaiwaza ikatokea nimemuona chupa yaketu walah ntatafuta duka nikainunue.

Ikafika kipind sasa usingiz usiku sipati yaaan tayar mekua mlev wa energy bila hiyo nafaa kuumwa. Ila siku moja nlipokutana na bandiko humu za hizo energy nikaamua kuacha ila katu huwez acha kitu bila kua na mbadala wake . Kimfumo iko hiv huwez kuacha kitu fulan kama hujaazisha kitu flan kua mbadala wa hicho uachacho. Niliaza kunywa maziwa asubuh na ikifika mchana nakunywa maji na nikirud hone usiku lazma niende na maziwa fresh au mgando. Had leo sizikumbuk tena . Nawewe waweza tafuta mbadala wake utaweza ila hiv hiv uongo
 
Habarini za mchana,

Wakuu mimi huwa situmii pombe, ni juice na soda tu na soda yangu pendwa ni Pepsi.

Kila siku huwa nakunywa Pepsi tena napenda ikiwa baridi sana. Nilianza kunywa moja kwa siku, ikaja mbili ikaja 3 now nakunywa nne kwa siku; mbili mchana na mbili usiku. Hizo mbili nakunywa kwa mpigo.

Nifanyeje ili kuacha? Pia Mimi sio mpenz wa chai asubuhi, niko radhi nile vitafunwa vikavu au na maji au soda, na usiku siwezi kulala bila kunywa maji baridi-huwa nalala na jug la maji pembeni.

Nikinywa maji baridi akili huwa inarelax, nalala kwa haraka tofaut na nisipokunywa maji. Nifanyeje?
Kisukari Kinakunyemelea, Kapime sukari
 
Ndugu yangu ngoja nikusaidie kitu, zile pepsi na kaka yake coca kama hawatii madawa ya kulevya au unga sijui,

Kuna miaka ilikua mimi na coca nikiikosa nasikia hata kutetemeka kabisa,

Mpaka nilipoamua kuacha baada ya mwanachama mwenzangu wa masoda kupigwa kisukari heavy, unajua ilikuaje?

Yule bwana alikua anapiga hata coca nane kwa siku hizo za kumuona bado akiwa mwenyewe ghafla akaanza kuumwa na kukonda sanaaa kuja kucheki kisukari ,

Mwanzo zitakunenepesha sana na kuongeza uzito kwa kiwango cha juu kisha zinakupiga tukio , jitahidi upunguze kisha uache kabisa
 
Pole sana memba.
Magonjwa yapo kwenye vyakula na vinywaji.
Soda imebeba magonjwa kadhaa.
Soda na sigara ni sumu iliyobarikiwa na Dunia ili kufaidisha kigenge furani cha wapenda pesa.
Ziepuke kadri inavyowezekana.
 
Habarini za mchana,

Wakuu mimi huwa situmii pombe, ni juice na soda tu na soda yangu pendwa ni Pepsi.

Kila siku huwa nakunywa Pepsi tena napenda ikiwa baridi sana. Nilianza kunywa moja kwa siku, ikaja mbili ikaja 3 now nakunywa nne kwa siku; mbili mchana na mbili usiku. Hizo mbili nakunywa kwa mpigo.

Nifanyeje ili kuacha? Pia Mimi sio mpenz wa chai asubuhi, niko radhi nile vitafunwa vikavu au na maji au soda, na usiku siwezi kulala bila kunywa maji baridi-huwa nalala na jug la maji pembeni.

Nikinywa maji baridi akili huwa inarelax, nalala kwa haraka tofaut na nisipokunywa maji. Nifanyeje?
Naionea huruma mifupa yako
 
Kuna kipnd nilikuwa addicted na peps,,,, asbh nikipiga supu au chai napata peps, mchana after lunch peps,,, now sijaacha ila nimepunguza,,, kwa wiki naweza kunywa tatu au 2 ! Jitahd upunguze mdogo mdogo
Mkuu!

Unaharibu figo na mfumo wa mmeng'enyo wa chakula!

Nilimpoteza rafiki mwaka wa pili chuo kikuu!!alikua mnywaji sana wa pepsi!

Kunywa chai badala ya pepsi!
 
Tatizo friji nimejaza soda nkitaka kunywa naiweka kwenye freezer dk chache ipate ubarid nzuri ndo nakunywa inakua inanisisimua
Ooh kumbe!!! usiache kiongozi. endelea kujaza soda kwenye jaza jaza mama. usiache hadi zikuuwe😆
 
Ndugu yangu ngoja nikusaidie kitu, zile pepsi na kaka yake coca kama hawatii madawa ya kulevya au unga sijui,

Kuna miaka ilikua mimi na coca nikiikosa nasikia hata kutetemeka kabisa,

Mpaka nilipoamua kuacha baada ya mwanachama mwenzangu wa masoda kupigwa kisukari heavy, unajua ilikuaje?

Yule bwana alikua anapiga hata coca nane kwa siku hizo za kumuona bado akiwa mwenyewe ghafla akaanza kuumwa na kukonda sanaaa kuja kucheki kisukari ,

Mwanzo zitakunenepesha sana na kuongeza uzito kwa kiwango cha juu kisha zinakupiga tukio , jitahidi upunguze kisha uache kabisa
Sawa mkuuu nitapunguza leo nimekunywa moja tuuu
 
Back
Top Bottom