Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwema kabisa mzee wangu.Kwema ndugu mzima wewe.. nakusalimia.
Naendelea vyema kabisaa. Shukrani sanaa tupo pamoja.Kwema kabisa mzee wangu.
Natumai unaendelea vyema na familia.
🙏🙏🙏🙏🙏Naendelea vyema kabisaa. Shukrani sanaa tupo pamoja.
Sio nzuri kwa afya.. Uzito wako ukoje? Overweight, Obese or Normal?
OkayPole kwa kuwa mhanga wa kunywa soda nyingi ndani ya siku moja hata mimi nimetoea huko,nakupa ufumbuzi wa Hilo tatizo kwenye DM yako.
Nipe dakika ishirini.
Tafadhali punguza sana la sivyo utakaribisha kisukari.Habarini za mchana,
Wakuu mimi huwa situmii pombe, ni juice na soda tu na soda yangu pendwa ni Pepsi.
Kila siku huwa nakunywa Pepsi tena napenda ikiwa baridi sana. Nilianza kunywa moja kwa siku, ikaja mbili ikaja 3 now nakunywa nne kwa siku; mbili mchana na mbili usiku. Hizo mbili nakunywa kwa mpigo.
Nifanyeje ili kuacha? Pia Mimi sio mpenz wa chai asubuhi, niko radhi nile vitafunwa vikavu au na maji au soda, na usiku siwezi kulala bila kunywa maji baridi-huwa nalala na jug la maji pembeni.
Nikinywa maji baridi akili huwa inarelax, nalala kwa haraka tofaut na nisipokunywa maji. Nifanyeje?
Pepsi nne kwa siku ni afadhali unywe bia 5Habarini za mchana,
Wakuu mimi huwa situmii pombe, ni juice na soda tu na soda yangu pendwa ni Pepsi.
Kila siku huwa nakunywa Pepsi tena napenda ikiwa baridi sana. Nilianza kunywa moja kwa siku, ikaja mbili ikaja 3 now nakunywa nne kwa siku; mbili mchana na mbili usiku. Hizo mbili nakunywa kwa mpigo.
Nifanyeje ili kuacha? Pia Mimi sio mpenz wa chai asubuhi, niko radhi nile vitafunwa vikavu au na maji au soda, na usiku siwezi kulala bila kunywa maji baridi-huwa nalala na jug la maji pembeni.
Nikinywa maji baridi akili huwa inarelax, nalala kwa haraka tofaut na nisipokunywa maji. Nifanyeje?
Kwani unakoishi hakuna maji na hujui faida ya kunywa maji na hasara za kujitutika misukari feki? Uamuzi ni wako. Endelea ufe au acha uishi mwanangu. Simpo.Habarini za mchana,
Wakuu mimi huwa situmii pombe, ni juice na soda tu na soda yangu pendwa ni Pepsi.
Kila siku huwa nakunywa Pepsi tena napenda ikiwa baridi sana. Nilianza kunywa moja kwa siku, ikaja mbili ikaja 3 now nakunywa nne kwa siku; mbili mchana na mbili usiku. Hizo mbili nakunywa kwa mpigo.
Nifanyeje ili kuacha? Pia Mimi sio mpenz wa chai asubuhi, niko radhi nile vitafunwa vikavu au na maji au soda, na usiku siwezi kulala bila kunywa maji baridi-huwa nalala na jug la maji pembeni.
Nikinywa maji baridi akili huwa inarelax, nalala kwa haraka tofaut na nisipokunywa maji. Nifanyeje?
Habarini za mchana,

Utapigwa na bonge la ugonjwa wa kisukariJa
Jana nimekunywa 4 usiku mzima sikulala mpaka asubuhi
Endapo utaongeza zaidi kiwanda chetu kitakuzawadia.Habarini za mchana,