Msaada: Nimeishiwa nguvu za kiume

Msaada: Nimeishiwa nguvu za kiume

MakaDik

JF-Expert Member
Joined
May 31, 2019
Posts
239
Reaction score
136
Wapendwa naomba msaada nimeishiwa nguvu za kiume miezi miwili sasa hata nimekuwa kero kwa mwenza wangu. Uume umepungua hata ningebanwa mkojo haustuki unabaki umelegea.

Maumivu ya kiuno ni makubwa na hayo yana zaidi ya miaka kumi. Hospitali wamekuwa wakinipa dawa za kupaka tu na za maumivu.
 
Back
Top Bottom