Msaada: Nimeishiwa nguvu za kiume

Msaada: Nimeishiwa nguvu za kiume

ni saikoloji addiction mbaya sana inafanya uone mbususu halisi ya mwanamke ni ya kawaida sana ni kama haivutii vile na ile ya kwenye video ndio nzuri, matokeo yake unashindwa kuperform hadi kwanza ukachungulie video. Usipoona video shaft haisimami.
Na ukiendeleza hako kamchezo baada ya muda hutaona ladha kabisa ya tendo la ndoa halisi, utaishia masturbation na matokeo yake vijana wengi hivi sasa hawaskii tena ladha ya mbele na hawawezi tena kuperform wanaanza kutafuta ladha ya nyuma na sasa ivi hadi kumetengenezewa vyoo vya kutawazwa nyuma, yote haya ni mafanikio ya watengeneza video za porno kuwa weaken kabisa vijana saikolojikali ili iwe rahisi kuwarecruit kwenye USHOGA jamii inayokuua kwa kasi zaidi nchini na Duniani.

Kumbuka anaetengeneza video za ngono ndio huyo anaekupokea kwenye jamii ya USHOGA na anarahisisha kuwakaribisha wengi zaidi kwa choo cha kumpapasa huko nyuma kwasabb mbele ni legevu.
Na actually hii inatesa sana vijana wa miaka 35 kushuka chini.
Tiba Kamili ni kama nilivyoshauri hapo juu.

90 days without watching porno video and free from masturbating
Kula vizur lala vizuri, pumzika vizuri, ondoa Mawazo hasi utakua Mwanaume Kamili kitandani.

Not necessary to agree..... but man power imeathiriwa mno na video za ngono
Shukrani sasa kaka nakufuatilia kwa karibu madini unayoleta humu
 
Haya Mambo ni rahisi sana mtu kufanya kejeli kama hayajamfika ila kwa ujumla yana athari kubwa sana
 
Limeisha hilo njoo whats app na elf 22tu nimalize
Screenshot_20240316-012126_Instagram%20Lite.jpg
 
Hamna kitu hapo formular utakazopewa mpaka tumbo litavimbiwa kwa hayo matunda ila hutapona
Hii ni uhakika formula siku ya kwanza tu una9na chamge na ni formula asili hakuna kemikal kuna matumda na maji moto kama utaitaj yaan uvuguvugu
 
Hii ni uhakika formula siku ya kwanza tu una9na chamge na ni formula asili hakuna kemikal kuna matumda na maji moto kama utaitaj yaan uvuguvugu
Sasa maji ya moto tunatoa wapi mkuu wengine cc mabachelor
 
Back
Top Bottom