PakiJinja
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 11,689
- 25,848
Nenda kale kwanza, ukirudi ndiyo utwambie kama zipo au hazipo.Wapendwa naomba msaada nimeishiwa nguvu za kiume miezi miwili sasa hata nimekuwa kero kwa mwenza wangu. Uume umepungua hata ningebanwa mkojo haustuki unabaki umelegea.
Maumivu ya kiuno ni makubwa na hayo yana zaidi ya miaka kumi. Hospitali wamekuwa wakinipa dawa za kupaka tu na za maumivu.
Kuna nyakati hata jua halitoki, mvua hazinyeshi, mapigo ya moyo hubadilika, mwili huishowa nguvu, hupatwa magonjwa, hamu ya kula hutoweka and list of scenario goes on just like that.
Sasa ulitaka nguvu za kiume zenyewe anytime zowe vilevile kama sanamu ya askari au Bismark stones?
Hebu kuweni makini, huko ni kutoielewa mili yenu, au kutojielewa matokeo yake mnajitengenezea hofu ambazo hupelekea tatizo kuzaliwa kweli ndani yenu.
Zisipo simama sasa fanya mambo mengine, mwili ukijirekebisha hali itarudi yenyewe.