Msaada: Nimeishiwa nguvu za kiume

Msaada: Nimeishiwa nguvu za kiume

Wapendwa naomba msaada nimeishiwa nguvu za kiume miezi miwili sasa hata nimekuwa kero kwa mwenza wangu. Uume umepungua hata ningebanwa mkojo haustuki unabaki umelegea.

Maumivu ya kiuno ni makubwa na hayo yana zaidi ya miaka kumi. Hospitali wamekuwa wakinipa dawa za kupaka tu na za maumivu.
Katafute forever multi maca
 
+255 755 116 766

Mtafute huyo
 
Pole ndugu.
Fanya hivi, chukua likizo ya 30 days bila kusex wala kuchungulia video za ngono. Ikiwa utafanya ivo for 90 days utapona kabisa.
Muhimu zingatia lishe bora, matunda, Maziwa na kupata muda wa kutosha kupumzika. Punguza mawazo nakujishtukia kuwa huna nguvu, relax bana.
 
Asante kwa ushauri
 
Dawa ya mitishamba, ebu chukua ndevu za kwenye mahindi ziko pembeni mwa mhindi halafu nenda kwenye midizi kuchukua ndevu utaziona pembeni wa mkonga wa ndizi weka kwenye sufuria weka maji chemsha kunywa hayo maji asubuhi pumzika na jioni kunywa halafu cheki mazingira kama mnara unasoma hii ina nguvu sana
 
Asante
 
We jamaa unataka kuua watu
 
Kunywa chai ya Tangawizi na juice zenye Tangawizi kwa wingi tatizo litaisha kabisa..
Ngoja nikupe juice mbili
1.chukua kitunguu maji cha kawaida saga na Tangawizi then ukichuja Korogea asali kunywa
2.Tikiti maji +Tangawizi+kitunguu swaumu na limao.
Hizo juice Tatu it's best...mashine isipokuwa ngumu kama jiwe njoo hapa utoe ushuhuda..

Ukiongezea na mazoezi ya viungo ndio umemaliza kabisa tatizo..

Check pia kiwango chako cha sukari na pressure...kabla ya kulala tafuna vitunguu swaumu na karafuu pamoja shushia na maji
 
Back
Top Bottom