Msaada: Nimeishiwa nguvu za kiume

Msaada: Nimeishiwa nguvu za kiume

Wapendwa naomba msaada nimeishiwa nguvu za kiume miezi miwili sasa hata nimekuwa kero kwa mwenza wangu. Uume umepungua hata ningebanwa mkojo haustuki unabaki umelegea.

Maumivu ya kiuno ni makubwa na hayo yana zaidi ya miaka kumi. Hospitali wamekuwa wakinipa dawa za kupaka tu na za maumivu.
Nenda kale kwanza, ukirudi ndiyo utwambie kama zipo au hazipo.
Kuna nyakati hata jua halitoki, mvua hazinyeshi, mapigo ya moyo hubadilika, mwili huishowa nguvu, hupatwa magonjwa, hamu ya kula hutoweka and list of scenario goes on just like that.
Sasa ulitaka nguvu za kiume zenyewe anytime zowe vilevile kama sanamu ya askari au Bismark stones?
Hebu kuweni makini, huko ni kutoielewa mili yenu, au kutojielewa matokeo yake mnajitengenezea hofu ambazo hupelekea tatizo kuzaliwa kweli ndani yenu.
Zisipo simama sasa fanya mambo mengine, mwili ukijirekebisha hali itarudi yenyewe.
 
hhah
Wapendwa naomba msaada nimeishiwa nguvu za kiume miezi miwili sasa hata nimekuwa kero kwa mwenza wangu. Uume umepungua hata ningebanwa mkojo haustuki unabaki umelegea.

Maumivu ya kiuno ni makubwa na hayo yana zaidi ya miaka kumi. Hospitali wamekuwa wakinipa dawa za kupaka tu na za maumivu.
hahahhahahahaaa
pole mwaya 🤣 🤣 🤣
 
Wapendwa naomba msaada nimeishiwa nguvu za kiume miezi miwili sasa hata nimekuwa kero kwa mwenza wangu. Uume umepungua hata ningebanwa mkojo haustuki unabaki umelegea.

Maumivu ya kiuno ni makubwa na hayo yana zaidi ya miaka kumi. Hospitali wamekuwa wakinipa dawa za kupaka tu na za maumivu.
Mkuu pole sana kwa hayo maradhi yako ukiweza nitafute kwa wakati wako ili niweze kukutibia upate kupona maradhi yako uguwa pole.
 
Hizi ndio nguvu za kiume.....

1692893932084.png
 
inapatikanwaje mkuu?

ni saikoloji addiction mbaya sana inafanya uone mbususu halisi ya mwanamke ni ya kawaida sana ni kama haivutii vile na ile ya kwenye video ndio nzuri, matokeo yake unashindwa kuperform hadi kwanza ukachungulie video. Usipoona video shaft haisimami.
Na ukiendeleza hako kamchezo baada ya muda hutaona ladha kabisa ya tendo la ndoa halisi, utaishia masturbation na matokeo yake vijana wengi hivi sasa hawaskii tena ladha ya mbele na hawawezi tena kuperform wanaanza kutafuta ladha ya nyuma na sasa ivi hadi kumetengenezewa vyoo vya kutawazwa nyuma, yote haya ni mafanikio ya watengeneza video za porno kuwa weaken kabisa vijana saikolojikali ili iwe rahisi kuwarecruit kwenye USHOGA jamii inayokuua kwa kasi zaidi nchini na Duniani.

Kumbuka anaetengeneza video za ngono ndio huyo anaekupokea kwenye jamii ya USHOGA na anarahisisha kuwakaribisha wengi zaidi kwa choo cha kumpapasa huko nyuma kwasabb mbele ni legevu.
Na actually hii inatesa sana vijana wa miaka 35 kushuka chini.
Tiba Kamili ni kama nilivyoshauri hapo juu.

90 days without watching porno video and free from masturbating
Kula vizur lala vizuri, pumzika vizuri, ondoa Mawazo hasi utakua Mwanaume Kamili kitandani.

Not necessary to agree..... but man power imeathiriwa mno na video za ngono
 
Kunywa chai ya Tangawizi na juice zenye Tangawizi kwa wingi tatizo litaisha kabisa..
Ngoja nikupe juice mbili
1.chukua kitunguu maji cha kawaida saga na Tangawizi then ukichuja Korogea asali kunywa
2.Tikiti maji +Tangawizi+kitunguu swaumu na limao.
Hizo juice Tatu it's best...mashine isipokuwa ngumu kama jiwe njoo hapa utoe ushuhuda..

Ukiongezea na mazoezi ya viungo ndio umemaliza kabisa tatizo..

Check pia kiwango chako cha sukari na pressure...kabla ya kulala tafuna vitunguu swaumu na karafuu pamoja shushia na maji
Mkuu hapo umeua👊
 
Back
Top Bottom