Ilianza kusimama kwa shida lakini kwa sasa sisimamishi kabisatatizo lako hasa ni nini? Husimamishi? ama unawahi kukojoa? ama huwezi kurejea tendo?
Ilianza kusimama kwa shida lakini kwa sasa sisimamishi kabisa
Asante sanaJaribu kuwaona wataalam wa miti shamba kwa maelezo yako hiyo inaweza kuwa ngiri
Asante..Anapatikana wapi?Mcheki Dk. Jj Mwaka , hutojutia
49Umri wako tafadhali?
Nadhani yaweza kuwa sababuMaumivu ya kiuno ndio chanzo au chanzo ni nini??
mkuu sasa mbona unaandika kama dogo wa 20yrs!? ila pole sana.
Sijakuelewa tafadhaliWewe sio member wa chaputa?
😂😂Labda ndio uzee wenyewe, ila ukweli ni kama hivyomkuu sasa mbona unaandika kama dogo wa 20yrs!? ila pole sana.
Kama umeshawaona wataalamu, walisema chanzo hasa cha tatizo ni nini?
Zaidi ya kunipa dawa za kuchua na maumivu hakuna kingineKama umeshawaona wataalamu, walisema chanzo hasa cha tatizo ni nini?
Zaidi ya kunipa dawa za kuchua na maumivu hakuna kingineKama umeshawaona wataalamu, walisema chanzo hasa cha tatizo ni nini?