Msaada: Nimekuta risiti kwenye mkoba wa mke wangu, naomba kuitambua

Msaada: Nimekuta risiti kwenye mkoba wa mke wangu, naomba kuitambua

Kaiche

Senior Member
Joined
Jan 23, 2017
Posts
147
Reaction score
297
Naomba msaada juu ya hii risiti. Nimekuita kwenye mkoba wa mke wangu nimeumiza kichwa ila bado sijapata jibu sahihi naona tu TRA na hiyo Sheri na mke wangu hana usafiri wowote naomba mnifumbue macho.

IMG_20220129_184443_303.jpg

 
Naomba msaada juu ya hii risiti,,,Nimekuita kwenye mkoba wa mke wangu nimeumiza kichwa ila bado sijapata jibu sahihi naona tu TRA na hiyo Sheri naomba mnifumbue machoView attachment 2104693
Hiyo risiti inaonyesha tarehe, muda, na namba ya simu ya hicho kituo cha mafuta..
Je, siku na muda huo alikuwa wapi?
Hiyo petrol station ipo wapi?
 
Alikuwa kwenye gari ya work mate wake seat ya abiria, work mate akampa hela amlipe pump attendant mkeo alipopewa risiti akadumbukiza kwa hand bag yake.
Hahahaha[emoji23]
 
Back
Top Bottom