MSAADA: Nimekuwa na addiction mbaya ya kula kwa watu

MSAADA: Nimekuwa na addiction mbaya ya kula kwa watu

simple tu ww ni mbinafsi unapenda kutumia vya watu ila vyako ukae navyo ni uchoyo na raoho mbaya hakuna lingine.
 
Hapo ni mawili uoe au uolewe.. hiyo ndiyo dawa, mengine ni ngojera tu..
Maana watu wa aina yako huwa mnakua za uvivu na uchafu
 
Jinsia? Kama ni me Pole sana sina ushauri mwingine zaidi

Kama ni ke , hama hapo unapoishi, kaishi sehemu nyingine na watu wapya,,, ! Hizo ni tabia za kiswaz, mara mtu aje na kibakuli kuulizia umepika mboga gani ili nae apewe !
 
.
 

Attachments

  • 20250822_234149.jpg
    20250822_234149.jpg
    114.7 KB · Views: 35
Hujawahi logwa inaonekna,, ndipo utatoka kwenye kundi la kutoamini uchawi na kusingizia njoo na facts!!!
 
Niko na miaka 28 sasa na naishi kwangu na kazi zangu ila nimekuwa addicted kula kwa watu.

Yaani nimejaribu kuacha hiyo tabia ila najikuta kila siku lazima nitafute nyumba walau niende nikadoee chakula iwe cha mchana au jioni.

Nifanyeje?
Kijana wake wawili , una anza kula kwa bmdogo una malizia kwa bmkubwa😁😁
Usioe mke mmoja hiyo tabia huta acha
 
Back
Top Bottom