Penguinelli Cactussini
Senior Member
- May 23, 2022
- 106
- 383
Kijana wake wawili , una anza kula kwa bmdogo una malizia kwa bmkubwa๐๐Niko na miaka 28 sasa na naishi kwangu na kazi zangu ila nimekuwa addicted kula kwa watu.
Yaani nimejaribu kuacha hiyo tabia ila najikuta kila siku lazima nitafute nyumba walau niende nikadoee chakula iwe cha mchana au jioni.
Nifanyeje?