Msaada: Nimekuwa na mawazo ya kujiua kwa zaidi ya miaka 15

Msaada: Nimekuwa na mawazo ya kujiua kwa zaidi ya miaka 15

Ume suffer emotional neglect in your childhood,ulikua unapewa kila kitu na wazazi wako ila hukupewa attention ukilia,ukiwa na furaha/huzuni haikuwavuta wakuangalie ..hujui ku express your emotions as a result yaani umekua na flat personality hucheki wala hununi ......kukutibu itakua ngumu sababu inaelekea you are happy with it
 
Kidogo Niko kama wewe ila naona mwenzangu umekua konki..I consider myself introvert am more at home nikiwa mwenyewe kuliko na watu...mda mwengine hua nacreate beef na MTU makusudi ill nipate a reason kupambana nizidi kua maisha bora kuliko yeye my loyalty ends when my interest is affected.

Though sijioneshi...hata mahusiano naogopa kujicommit six years nipo na MTU am not ready for marriage...atleast mwanangu ndo anayenipa sababu ya kuzidi pambana.

Sijawahi kua suicidal ila hizo kunywa kitoko sijui safari hadi 4 kawaida tena I usually prefer alone...kikubwa tafuta kinachokupa passion in life then pursue it to your own happiness ...best wishes
 
Mkuu for the past 15 years I have testing this theory and Nafikiri ndio imenipa nguvu ya kuwapo hapo BUT shida ni kwamba these other objects of my passion kwangu hazidumu sana...
Sio mbaya mkuu.

Unapenda ila ni general love sio specific love naamini.

Ni rahisi wewe kupendwa ila sio rahisi kuupokea ule upendo kama walivyokusudia wapendaji.

Naona ni vyema kupeana mrejesho ili tuweze ku-analyse situation vyema mkuu.
 
Wewe shupavu hebu niache kwanza [emoji28][emoji28][emoji28] yani hakuna lenye unafuu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]inatokeaga mkuu.
Tatizo ni kwamba karibia kila hisia kwake inakua ipo ila in a moderate level.
Mwisho wa siku inakua kila kitu fresh to the extent hapati hata pa kusimamia yeye kama yeye.
 
Na hili ni moja katia ya tatizo langu.If you meet me and talk to me.I am perfect and Normal.But on the inside I am freaking weird.
Exactly.
Sio weird mkuu.
Just highly unstable and very steady.
Unstable ndani steady nje mkuu.
 
Kwahiyo mkuu ni mapenzi pekee ndiyo yanakuendesha hivi au pia na mambo ya financial? Vyote kwa pamoja maana unaonekana una stress za kutosha
Kwa ninavoona mkuu haendeshwi na mapenzi wala finance maana hana access kubwa sana ya emotion mkuu.

Anataka at least aweze kuendeshwa kidogo hata na mapenzi kwa mbaaaaali.

Acquiring th ability to love deeply.
 
ume suffer emotional neglect in your childhood,ulikua unapewa kila kitu na wazazi wako ila hukupewa attention ukilia,ukiwa na furaha/huzuni haikuwavuta wakuangalie ..hujui ku express your emotions as a result yaani umekua na flat personality hucheki wala hununi ......kukutibu itakua ngumu sababu inaelekea you are happy with it
Kuna ukweli mkubwa hapa mkuu.

Mtoa mada amekua forged kwenye upweke.

He is lonely even when everyone is around him and for him.

He wants to feel like he belongs somewhere to someone.

He wants to be able to connect, deeply.
 
Nianze kwa kusema kwamba ningependa huu uzi uchukuliwe kama simulizi inayonihusu mimi au inayomuhusu mtu mwingine.Ila katika kuielezea nitatumia nafsi ya kwanza.....
Miaka 15 unawaza kujiua alafu bado hujajiua...hizi story bro wee sio suicidial at all....u is just depressed.
 
Mkuu kama unajua kusoma quran basi isome au yatafsiri ya Kiswahili au English any read it utapa utulivu
 
Binadamu tunapitia magumu ila mkuu unajua kusudi la wewe kuishi hapa duniani kabla sijaenda mbali kukupa elimu dunia

Mwenzetu yupo katika hatua mbaya ni vyema tukawa positive katika kutataua hali anayopitia.

Pia naamini kila mmoja wetu kuna hali fulani anaipitia kwenye maisha yake lakini wengi wetu tumeamua kukaa kimya .tukiamini mambo yatakaa sawa jinsi siku zinavyozidi kwenda

Huyu ameamua kuwa muwazi tafadhali tujitahidi tuwezavyo kumsaidia mwenzetu
 
Hii issue me ninayo kwenye mahusiano... ata nidate na mdada mwenye mvuto kiasi gani na kila sifa siwezi kumpenda.. yani after sex tu uwa nashindwa kumuhitaji yani kwanza namuona kero... najaribu kujitaidi kumpenda lakini wapi... na uwa naona uwivu kuona watu wengine wanavo weza kukaa mda mrefu kwenye mahusiano na mtu... sasa najiuliza nitakuja kuoa kweli[emoji2357]
 
Nianze kwa kusema kwamba ningependa huu uzi uchukuliwe kama simulizi inayonihusu mimi au inayomuhusu mtu mwingine.Ila katika kuielezea nitatumia nafsi ya kwanza....
Why do you choose to be sad, when you can be happy? Remember,no matter what happens to you, it's how you take it.
 
Back
Top Bottom